Tazama yesu anavyoweza kufanyakazi

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Ntawezaje kupata kazi yenye
kudumisha utu wangu,
kuwatunza wazazi wangu, na
kuwasaidia ndg zangu wakati
sikubahati hata kumaliza elimu
yangu ya sekondari? Sina kazi
natafuta kazi tafadhari nisaidie
leo nawe kesho waweza
kusaidiwa, wewe, mwanao au
nduguyo kama
kuna mtu anaweza
kuniwezesha
tuwasiliane kupitia simu namba
0685234854 tuma sms.
 
dont use yesu au kutumia heading ambayo ina mislead watu,Pia wengi awapendi saidia watu wanaojifanya walokole upfront kama wewe,why unamtaja yesu?
 
ameweka hii spam kila jukwaa.... content na heading haviendani...
 
Ntawezaje kupata kazi yenye
kudumisha utu wangu,
kuwatunza wazazi wangu, na
kuwasaidia ndg zangu wakati
sikubahati hata kumaliza elimu
yangu ya sekondari? Sina kazi
natafuta kazi tafadhari nisaidie
leo nawe kesho waweza
kusaidiwa, wewe, mwanao au
nduguyo kama
kuna mtu anaweza
kuniwezesha
tuwasiliane kupitia simu namba
0685234854 tuma sms.

kwa mtu mwenye fikra pevu atatambua tu kua wewe unalakojambo haswa kuhusiana na Dini ni zaidi ya hiyo ajira unayodanganyia watu.
Si vema kulitumia jina hilo kama ulivolitumia.
Kwanza hili si jukwaa la kazi.
Mods plz fanyeni hekima yenu hapa.
 
Najaribu ku'connect heading na topic yenyewe nashindwa kuelewa kabisa.
Inawezekana ni frustration za maisha tu.
 
Hata kama kuchanganyikiwa si kwa kaisi hiki, yaani unatuchanganya na unamdharirisha huyo Yesu we unafikiri wanaomtegemea Yesu ni omba omba kama unavyotaka kutuamisisha hapa. Nafikiri una matatizo ya akili heading na contents haviendani kabisa.
 
Halafu mbona ana insist kutuma sms, asije akawa ame hide short code ambayo anakula ile fees kidogo kidogo ndio maana ame spam kila sehemu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom