Yesu anafanya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yesu anafanya kazi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbaga Michael, Apr 2, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Ntawezaje kupata kazi yenye
  kudumisha utu wangu,
  kuwatunza wazazi wangu, na
  kuwasaidia ndg zangu wakati
  sikubahati hata kumaliza elimu
  yangu ya sekondari? Sina kazi
  natafuta kazi tafadhari nisaidie
  leo nawe kesho waweza
  kusaidiwa, wewe, mwanao au
  nduguyo kama
  kuna mtu anaweza
  kuniwezesha
  tuwasiliane kupitia simu namba
  0685234854 tuma sms.
   
 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ???????>>>.....
   
 3. soine

  soine JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Mungu akusaidie.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yani unashida alafu unatoa mashari ya jinsi ya kuwasiliana?
   
 5. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  ahsante kwa dua ndg.
   
 6. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  nikwa sababu hakuna uhakika wa kuwa hewani muda wote ndg.
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Huyo YESU anapatikana JF? Watanzania sisi ni wazembe sana, tunabagua kazi. Wewe katika mazingia yako ukisukuma wheelbaro au ukalima mchicha kwenye uwanja wenu si unapata pesa, halafu unatumia buku kuingia cyber kutafuta kazi JF, hiyo buku si mtaji wa mbegu za mchicha!
   
Loading...