Tazama yanayowakuta watu wa Bukoba kisa Wameelimika na wamechagua Upinzani

Kuko vzr wapi.
Tazama barabara za katikati ya mji ni chafu, taa haziwaki, hakuna traffic lights, soko bado la mabati. Daladala zilistopishwa nk.


Halafu Mimi sina chama chochote Mimi nataka kuona Bukoba ikibadilika




Angalia majimbo ya ccm kama Bukoba vijijini au Muleba tuambie Luna maendeleo gani?
 
Hao wapinzani si ndio mabingwa wa kupinga kila kitu, acha waisome namba na laana isiyo na sababu haimpati mtu.
 
Tulieni mnyolewe nyinyi nanyi si mko kanda maalum je wa Kask watasemaje wanaochukiwa wazi wazi ?subir CCM na wajumbe wake wawanyooshe
 
Tupo Karne ya 21 Bado kujisifu kusikokuwa na mpango kunaendelea tu.
 
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
Kosea Kuoa Ila Siyo Kuchagua
Ukikosea Kuoa Mke Mnaweza Kuachana Muda Huo Huo
Lakini Ukikosea Kuchagua Hadi Miaka 5
Kupanga Ni Kuchagua
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ila Tz kuna siasa za kijinga
 
Back
Top Bottom