Tazama yanayowakuta watu wa Bukoba kisa Wameelimika na wamechagua Upinzani

Linganisha bukoba na geita/ chato ambayo magufuli kawa mbunge wao toka limekuwa jimbo. Na cha ajabu ni jimbo la 3 kutoka kwa watu maskini hapa Tz.

Ni cha ajabu zaidi ndyo kuna migodi mikubwa ya madini uko uko.

Nenda miji mingine sasa. Singida ilikuwa ya upinzani ila ndyo ya kwanza kujengwa stend ya kisasa.
 
Siku zote siku zote CCM huwanasa watu wasio na elimu yoyote.

Hebu niwape historia ya Bukoba Kwa ufupi.

Tangu kuanzishwa Kwa mji wa Bukoba mwaka 1890 na Wajerumani wakiongozwa na Emin pasha mji huu ulikuwa vizr Tu kama miji mingi tz Hadi mwaka 1919 walipoondoka.

1920-1961 mji uliendelea kukua Tu huku ukiwa mji wa pili Kwa ukubwa baada ya jiji la mwanza na ukiwa na bandari mbili custom na kemondo na meli kama mv Victoria ,kishimba, Serengeti na baadae MV bukoba .

Kimsingi bukoba vijijin na mjini Yote kulikuwa na maendeleo at least maana watu walizalisha kahawa na ndizi Kwa wingi hivyo wakauza na kupeleka watoto wao shule.Mpaka mkoa wa ziwa magharibi ( kagera) ulikuwa wa pili tz Kwa maendeleo hadi 1979.

Baada ya CCM kushika nchi Kwa sababu wanazozijua wao udororaji wa kiuchumi wa bukoba na mji wenyew wa bukoba umeyumba na kufanya bukoba ibaki vilevile mji mkongwe mpaka Leo.

2000 wanabukoba wakaamua wamchague upinzani kweli bukoba at least ilisonga kidogo kama kuwa na barabara za lami mji mzima ingawa Kwa vikwazo vingi kutoka serikali.

2005 Jimbo likarudi CCM chini ya MH kagasheki . Bukoba ilibaki vilevile tena na bandari ikafungwa kabisa huku wakirumbana wao Kwa wao CCM mpaka billion 18 zilizotolewa na world Bank kujenga mji wa Bukoba hasa stendi ,soko kuu,kashai market na barabara za mji kuziboresha ikaamishiwa miji mingine.

2015 wananchi wa bukoba wakaona hebu wajaribu upinzani ili walao wawaache CCM na migogoro Yao maam wakampa MH Rwakatale. Ni kweli huyu alifaa na nilimuona Sana akilalamika Sana bungeni kuhusu bukoba hasa stendi na soko lake lakin hakusikilizwa Kwa kuwa mpinzani mwishowe amekata tamaa na hagombei tena.

2020 sasa bukoba mjini imebaki na stendi mbovu ,soko bovu na barabara mbovu kuliko zote tz hakuna hata mradi wa UGLSP wala sijui TARURA mji Una mifoleni ya ajabu.

Watu binafsi( wahaya) ndo wanajitahi di kujenga mahoteli nyumba shule nk mpaka sasa mkoa huu Una hospital 2 Tu za serikali nyingine 17 ni za kanisa na watu binafsi.

Mwaka huu wakazi wa mji huu hawajui wachague nini maana CCM na upinzani wametawala bukoba lakin mji unazidi kuchakaaView attachment 1522239View attachment 1522240View attachment 1522241View attachment 1522242View attachment 1522245View attachment 1522246View attachment 1522247
Tunashauriwa kujiendeleza kwa kujisomea wenyewe Katiba na sheria za nchi (na pia falsafa na sayansi ya siasa) ili tujue nani ana jukumu gani katika siasa, utawala na maendeleo ya nchi. Kwa kifupi, kila mwananchi (able-bodied member of society) ana jukumu la kulipa kodi. Kutokana na kodi, miradi ya maendeleo na vyanzo vingine vya mapato ya serikali, serikali inakuwa na wajibu wa kutoa huduma bora za jamii. Mbunge, ambaye ni mwakilishi wa wananchi bungeni, kazi yake ni kuwawakilisha wapiga kura/wananchi wake bungeni - kutoa kero zao na kufuatilia - ili serikali izitafutie ufumbuzi (na kuwapa mrejesho wapiga kura/wananchi wake). Kama Katiba inavyosema: kazi ya wabunge ni kuishauri na kuisimamia serikali kuwajibika kwa wananchi na kuwaletea maendeleo. Lawama zinaweza kwenda kwa sehemu ambayo hawana au hawapati maendeleo kama wananchi wa sehemu hiyo hawalipi kodi na hata kama hii ndiyo sababu serikali imeweka vyombo vya kufuatilia ulipaji kodi. Hivyo, ni vizuri tukajua majukumu na mipaka ya kila kiongozi wa umma maana itatusaidia tukipata tatizo tumuulize nani kuliko kulaumu hata wasiohusika na matatizo yetu.
 
Ni viwanda gani vipo na vinafanya kazi kwa sasa?
Ila jiografia na mazingira ya huo mji ni nzuri mno
Kuna Tanica ( kahawa) ,cha chai maruku na viwanda vya maji ya kunywa kama asilia,bunena,kabanga,Tanica nk
 
Hata wilaya baadhi za mkoa wa Kagera ambazo zinaongozwa na Ccm miaka yote kama Ngara wananchi ni maskini wa kutupwa vijijini kuna umaskini uliotopea huwa naumia ngara ni nyumbani ila mpaka sasa nimekosa ni kitu gani nitafanya?

Biharamulo nayo ni maskini wa kutupwa hawana tofauti na wagogo.

Mkoa wa Kagera afadhali imebaki kwa wilaya za bukoba, Karagwe, kwerwa, Misenyi na Muleba kwa sababu hali ya hewa ni rafiki na watu wengi wameelimika kila Wahaya 100 kuna watu 30 wenye kazi nzuri ambao wana msaada kwa jamii yao.
Pia hata umbali wa kutoka ngara hadi bukoba au hata biharamulo bukoba ni parefu Sana km300 ndan ya mkoa mmoja

Yaan mtu wa ngara ni rahisi kwenda kahama kuliko bukoba.

Sijui walitumia vigezo gan kutoa chato peke yake kuunda mkoa wa geita.

Kwa nini wasitengeneze mkoa mpya maana hata Kwa idadi watu kagera ni mkoa wa tatu nchini.
 
Bukoba ni mji wa aina gani wajameni mbona nasikia huwa unajaa maji mvua kubwa ikinyesha, kwani madigrii ya wahaya yanawasaidia nini kama hata mitaro mikubwa ya maji inawashinda kujenga mpaka wanalalamikia serikali.
Mi nadhan wahaya wanalipa Kodi vzr.

Hivyo basi barabara na stendi ni jukumu la serikali .

Sijawahi ona mtu binafsi anajenga barabara au stendi tz.

Lakin vitu vingine kama mashule na hospital mbona wamejenga san
 
Siku zote siku zote CCM huwanasa watu wasio na elimu yoyote.

Hebu niwape historia ya Bukoba Kwa ufupi.

Tangu kuanzishwa Kwa mji wa Bukoba mwaka 1890 na Wajerumani wakiongozwa na Emin pasha mji huu ulikuwa vizr Tu kama miji mingi tz Hadi mwaka 1919 walipoondoka.

1920-1961 mji uliendelea kukua Tu huku ukiwa mji wa pili Kwa ukubwa baada ya jiji la mwanza na ukiwa na bandari mbili custom na kemondo na meli kama mv Victoria ,kishimba, Serengeti na baadae MV bukoba .

Kimsingi bukoba vijijin na mjini Yote kulikuwa na maendeleo at least maana watu walizalisha kahawa na ndizi Kwa wingi hivyo wakauza na kupeleka watoto wao shule.Mpaka mkoa wa ziwa magharibi ( kagera) ulikuwa wa pili tz Kwa maendeleo hadi 1979.

Baada ya CCM kushika nchi Kwa sababu wanazozijua wao udororaji wa kiuchumi wa bukoba na mji wenyew wa bukoba umeyumba na kufanya bukoba ibaki vilevile mji mkongwe mpaka Leo.

2000 wanabukoba wakaamua wamchague upinzani kweli bukoba at least ilisonga kidogo kama kuwa na barabara za lami mji mzima ingawa Kwa vikwazo vingi kutoka serikali.

2005 Jimbo likarudi CCM chini ya MH kagasheki . Bukoba ilibaki vilevile tena na bandari ikafungwa kabisa huku wakirumbana wao Kwa wao CCM mpaka billion 18 zilizotolewa na world Bank kujenga mji wa Bukoba hasa stendi ,soko kuu,kashai market na barabara za mji kuziboresha ikaamishiwa miji mingine.

2015 wananchi wa bukoba wakaona hebu wajaribu upinzani ili walao wawaache CCM na migogoro Yao maam wakampa MH Rwakatale. Ni kweli huyu alifaa na nilimuona Sana akilalamika Sana bungeni kuhusu bukoba hasa stendi na soko lake lakin hakusikilizwa Kwa kuwa mpinzani mwishowe amekata tamaa na hagombei tena.

2020 sasa bukoba mjini imebaki na stendi mbovu ,soko bovu na barabara mbovu kuliko zote tz hakuna hata mradi wa UGLSP wala sijui TARURA mji Una mifoleni ya ajabu.

Watu binafsi( wahaya) ndo wanajitahi di kujenga mahoteli nyumba shule nk mpaka sasa mkoa huu Una hospital 2 Tu za serikali nyingine 17 ni za kanisa na watu binafsi.

Mwaka huu wakazi wa mji huu hawajui wachague nini maana CCM na upinzani wametawala bukoba lakin mji unazidi kuchakaa

View attachment 1522239View attachment 1522240View attachment 1522241View attachment 1522242View attachment 1522245View attachment 1522246View attachment 1522247
Duh kweli mnakazi Bukoba pamekuwa kama Ifakara.
 
Hii hali imewapata pia watu wa Kilimanjaro maana rais Magufuli aliwatangazia kabisa kuwa kwenye hii awamu yake wasubiri kwanza. Kilimanjaro hali ni mbaya japo wao wana nafuu sababu miundombinu ilishajengwa kabla bwana mkubwa hajachukua utawala. Wasingekuwa na hiyo miundombinu hakika namba wangeisoma kama Wahaya.

1749052_mwananchi (1).jpg

Rais Magufuli asema Serikali inatoa kipaumbele Kanda ya Kusini kwenye kuendeleza utalii

MAGUFULI ASEMA KWA SASA KIMAENDELEO AMEGEUKIA UKANDA WA KUSINI,AWAJIBU WANAOMBEZA KUHUSU KUKOPA NJE | Dar Mpya Online TV
 
Nilikuwa nikisikia mbwembwe za wahaya mjini nahisi mji wao utakua next to Toronto. Siku nimepita pale siku 1 naenda Kampala my God sikuamini nachokiona. Mji wa kijima balaa
 
Mkuu instanbul ccm ndo wanasra ya kudidimiza kagera tangu enzi za nyerere, huyu aliyepo ndo kabisaa amejaa chuki tu.

Sisi tuliokuwepo enzi za nyerere, wakati wa uhunumu uchumi tulishuhudia unyama na ukatili wa anabu dhidi ya bukoba.

Ccm kwa makusudi ndo iliua zao la kahawa bukoba, ccm ndo iliihujumu KCU, mpaka ikafa

Ccm ndo inafurahia umasikini wa watu wa bk ili iendelee kusurvive

Ondoeni ccm bukoba mpate maendeleo ya kweli
Kilimanjaro nako waliviuwa vyama vyaushirika vyote dah kulikuwa na mashamba ya mifugo yote wakauwa CCM ni cancer!
 
Back
Top Bottom