Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

Kwa hiyo video inaingiaje kwenye simu bila data, kwa miujiza?
Data ishaliwa hapo we ndo unazima.
Data inakula ikiwa na download tu kutizama haili data sasa jamaa nadhani kutokuelewa tu lakini humu ataelewa. Kama video ni 3MB iki download mpaka mwisho ndio inakula data ikimaliza 3MB ndio data yenyewe.
 
Thanks it works but Kwa mdamchache Sana ma'am n better kutumia data maan dkk 2 washa data kdgo zima data
 
Ni mpaka ikimbie mpaka mwisho ndo unaweza zima data,inavyoonyesha kwenda pale chini kuna kimstali cheupe na chekundu.kile cheupe kikienda fasta mpaka mwisho kama network iko vizuri ndo unaweza zima data lakini kuwasha na kuzima kama hakijafika mwisho itaenda hiyo video mpaka pale ilipoishia na ita stack.hii tushajuaga miaka mingi
 
Upumbavu mtu. Ww unadhani unawwza down stream video YouTube bila bañdle?? Kinacho fanyika hapo iyo app ina capability kubwa ya kufanya buffer store
 
Upumbavu mtu. Ww unadhani unawwza down stream video YouTube bila bañdle?? Kinacho fanyika hapo iyo app ina capability kubwa ya kufanya buffer store
Umeona eeeh, huyu jamaa nime mshusha nyota aiseee, anajiita mtu wa tech, ila hamna lolote, hiyo video inakua buffered ko hata kama data ikikata ita play kwa muda mpaka ikifika pale ilipo ishia ku buffer...
Poor you
 
Me naona kama ina stop pale ilipoishia mb zako,ukiwasha tena hiyo data unaliwa vilevile tuu,.anyway wabillah tawfiq.
 
Mm nimeino YouTube na nimedawnlod juzi sema siitumii nitaanza kuitmia
 
Uongo Upo Wapi?
Cbeki Hii
1c69fa4e6a6f961978d4319f83783186.jpg
Procesa ya kwanza kwenye hiyo screenshot ni download, maanake video inakuwa downloaded laa kutumia data hivyo unaweza kuireplay mara nyingi bila lu buffer.
Kudownload kunahitaji data yani haina tofauti na kudownload video kwenye simu.
Ila thnk you for sharing hata mimi uwa ninaitunua hii njia
 
Badili kichwa cha habari kiwe jinsi ya kubana matumizi ya mb ukiangalia youtube video kwa kuwasha data na kuzima
 
Ngoja nitoe maelezo kidogo unapo omba request ya video YouTube ajiyote kwa wakati mmoja inakuja kwa vipande vipande pale unapo endelea kuangalia ndivyo inavyozidi kuja yote kwaiy unapokuwa unazima data kwa vile vipande vilivyo kwisha pita (ingia) kwenye Socket yako (mlango) utaviona bila data kwasababu tayar vipo kwenye memory yako kwaiyo apo akuna cha bure ndo maana ukitaka vipande vingine lazima uwashe data upya
 
Umeona eeeh, huyu jamaa nime mshusha nyota aiseee, anajiita mtu wa tech, ila hamna lolote, hiyo video inakua buffered ko hata kama data ikikata ita play kwa muda mpaka ikifika pale ilipo ishia ku buffer...
Poor you
Wapi Nimejiita Mtu Wa Tech?
 
Back
Top Bottom