soskeneth
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 583
- 235
The same tuu maan lazim usave ukiwa na dataUnafanyaje mkuu?
The same tuu maan lazim usave ukiwa na dataUnafanyaje mkuu?
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
BismiLLaah, AlhamduliLLaah
In shaa Allaah, Leo Tutajuzana JINSI YA KUTAZAMA VIDEO ZA YOUTUBE BILA KUWASHA DATA.
MAHITAJI
1. SmartPhone
2. MBs Kadhaa.
3. App Ya YouTube Go
HATUA
1. Washa Data.
2. Ingia YouTube Go
3. Search Video Uitakayo, Ibofye.
4. Chagua Quality > PLAY
5. Ikianza Kuonesha, ZIMA DATA.
6. Mpaka Hapo Utakuwa Umefanikiwa Kutazama Video Za YouTube Bila Kuwasha Data.
Link Ya Ku-DownLoad YouTube Go, Ipo Kwenye Description Ya Video Hii![]()
(YouTube)
UNAWEZA UKAIPATA PLAYSTORE PIA.
NB:
1. UKIANGALIA KAMA DAKIKA 2-3 ITAKATA, SO ITAKUPASA UWASHE DATA, KISHA UZIME KAMA MWANZO.
App Ipo Kwenye MABORESHO.
WABILLAAHI TAWFIYQ
Hii ndo unafanyaje ?Why not save the video off line? You can watch it without having any MBs
Kwanini Mkali Wangu?Hahahhaaa hapo makali wangu umechemka
Yeap, Sema Ina Save MBs Kwa Kiasi Kikubwa.Inafaa ila 65% maana inakwamba na kudai data baada ya muda frani.
Inaliwa Ndani Ya Sekunde?Kwa hiyo video inaingiaje kwenye simu bila data, kwa miujiza?
Data ishaliwa hapo we ndo unazima.
Ningekuwa Nahitaji Views Sidhani Kama Ningeweza Bayana Namna inavyofanya Kazi.usicho kielewa wewe ni kwamba unapowasha data hiyo app automatic inaanza download ile video uliyoichagua ukizima data inaplay kile kipande ilichokidownload tayari kikiisha itaanza kukatakata mpaka uwashe tena data
najua hilo unalijua labda kama unaongopa ili kupata views
Title Ningewekaje?TITLE : Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)
Hatua ya Kwanza : Washa Data.
Duuu.. kazi ipo haha, kiku kingine pia mtu akikuambia siku zote kuwa hii ni 100%.. huwa sio kweli.
Itakuwa.Hii ni biashara ya wizi dhidi ya waja wa mola wamiliki wa youtube.
Ukiona Hii Haikufai, Tumia Inayokufaa.Kiongozi Unasema Kuangalia Video Bila Kuwasha Data, which Means Haina Haja ya kuwa na MB sasa Ukija Kusema Unaitaji MB kadhaa Ili kuqeza Kuangalia Video hapo Tayar Inakuwa Haina maana Ya kuwa Unaaangalia Bila data, hata Iyo App yako nayo Inaitaji data Ili iweze kufanya kazi so still bado hamna lolote apo.. Badilisha Headingi iyo na Iwe KUANGALIA VIDEO YOUTUBE NA MB NDOGO
Ohk
Wanipe Nini Tena!Wakupe bure umekua nani??