soskeneth
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 583
- 235
HaahahahahahahahCha bure ghali.
HaahahahahahahahCha bure ghali.
Sawasawa NimekusomaMkuu usivunjike moyo sisi wenyew wa Tanzania hatupendan kila mtu anajifany much know ww ukipa trick zingine tupia watu tutakusupport watu hawajifunz kwa chief mkwawa jamaa unapokosea anakuelekez lakn co kukutukana sasa nimesoma comments za watu humu baada ya kutumia lugha nzur mtu anatumia lugha chafu so usikate tamaa tupo pamoja na ww, kuna watu wajuaj mbele ya wajuaj kumbe hwana lolote tupo na ww mkuu