Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,097
Sio degree humu wanaanzia masters na kuendeleanasikia jf kila mtu ni ni muhitimu wa chuo kikuu ngazi ya degree. [emoji848][emoji848][emoji848]
Sio degree humu wanaanzia masters na kuendeleanasikia jf kila mtu ni ni muhitimu wa chuo kikuu ngazi ya degree. [emoji848][emoji848][emoji848]
Inaitwa Thanda island resort..lakini ile kwenda lazima uwe umeshabook tayari ..ipo kisiwani cha peke yake....ila bado kuna hotel nUri kama mafia island lodge,kivulini lodge...utalii wa mafia ni kuangalia papa nyangumi wanaokuja zaa na talii za ufukweni
Napenda sana kusafiri ila majukumu yamenikaba jaman [emoji19][emoji19]
mimi sio mpenz kwakwwl...ila majuz nimesafiri alone..hahaa nikajipa raha mwenyew...aug twende mafia..tunastay siku 1 hornet..
Kwa mtu wa ndani haizidi elfu 10 kwa saadan na hotel zipo za kitalii.....mimi hua naenda kwa zile organized group travel compny inkua unalipia kati ya elfu 50 hadi laki na nusu inategemea na mda....mlima kilimanjaro kupanda na kushuka kwa siku saba si chini ya laki 8 mkiwa wengi ndo gharama inashuka...kuna thread humu ya ktu alikua anaorganize kupanda mwezi wa tisa nadhan
Saadan hyo n kwa masaaa mangapi??? Je vyakula sio bei ukiwa humo ?? Bei yake ina range ngapi??
Daah ila Kilimanjaro bei sana