Tazama “timeline” yangu ya kusafiri hapa

Tazama “timeline” yangu ya kusafiri hapa

Mie safari ndefu hazinipendi

Huwa napata headache kali mixer kichefuchefu...huwa nafika mwisho wa safari mgonjwa
Ukipata hali kama hio osha uso wako na maji ya vuguvugu halafu weka peppermint kidogo kwenye pua utakuwa fresh tu. Na hii hali itakuomdoka

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
hapo kwenye kusoma majina ya vibao hata mimi huwa napapenda sana.

moja ya kibao kinachonivutia ni hiki kinachopatikana mkoa wa kagera kilomita kadhaa kabla ya kuingia bukoba mjini ukitokea muleba.
View attachment 1095253

NB: anayeonakana ktk picha na hiyo mashine iliyopaki pembeni havihusiani na mimi.

[emoji23][emoji23][emoji23]hicho ningekusoma kimya kimya
 
Binamu huna tofauti nami, yaani kukaa kwa gari zaidi ya masaa 2 ni dar-moro tu
sisi wengine kwa zile domestic trip tunapenda kutumia usafiri wa barabara
ili tupate wasaa wa ku explore madhari nzuri pembezoni mwa barabara kwa ukaribu zaidi.

sasa usafiri wa ndege japo ni time saving hauwezi ukakupa hiyo fursa kutokana na umbali wa anga na ardhi.

NB: kuna maeneo nchini utalazimika kutumia barabara kwasababu bado hayana miundombinu ya kutua ndege.
 
Sawa, lakini sasa issue ya muda na namna ya kazi inafanya iwe hivyo....
sisi wengine kwa zile domestic trip tunapenda kutumia usafiri wa barabara
ili tupate wasaa wa ku explore madhari nzuri pembezoni mwa barabara kwa ukaribu zaidi.

sasa usafiri wa ndege japo ni time saving hauwezi ukakupa hiyo fursa kutokana na umbali wa anga na ardhi.
 
Sipendi kusafiri hata kidogo,tena kwa bus halafu safari iwe ya masaa mengi
usafiri mzuri wa barabara ni ule wa private car. public busses ni tiresome sana maana wale jamaa wanafata timetable ya sumatra,hawaruhisiwi kuzidi speed limit ya sumatra japo sometimes huwa wana force.
 
Mimi huwa napenda kusafiri sana najitahidi Kila mwenzi at least kufika maeneo tofautitofauti hapa dar Kama kigamboni, kibada, etc
 
nje ya nchi nishavuruga sana.
ila hata hapa nyumbani ni pazuri maana charity begins at home.

halafu tz ni kubwa sana na ina maeneo mengi ya kuvutia kuzidi hata huko nje ya nchi.
mkoa pekee ambao sijafika ni kigoma.

mwaka huu nimeweka nia ya kutembelea wilaya kadhaa.
ukianza matembezi nishtue tuanze wote
 
Dyadyaa niachee[emoji23][emoji23][emoji23]majina ya kinyumbani hayo au

😂😂😂😂💨💨💨
maana ulisema Tz umevuruga kote..seriously Tz kuna visehem vitamu sana kwenda ....mie hamu yangu niende Mafia..naskia kuna hotel expensiv sijui Africa nzima?niliambia kitu km hicho..bas toka jana asbh naigugo sikumbuk jina....yaan ndo hamu yangu kwakwel...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji100][emoji100][emoji100]

Umesahau ukiwa humu jf we una kila kitu na umefanya vyote[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi huwa napenda kusafiri sana najitahidi Kila mwenzi at least kufika maeneo tofautitofauti hapa dar Kama kigamboni, kibada, etc
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umesahau ukiwa humu jf we una kila kitu na umefanya vyote[emoji23][emoji23][emoji23]
nasikia jf kila mtu ni ni muhitimu wa chuo kikuu ngazi ya degree. [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Inaitwa Thanda island resort..lakini ile kwenda lazima uwe umeshabook tayari ..ipo kisiwani cha peke yake....ila bado kuna hotel nUri kama mafia island lodge,kivulini lodge...utalii wa mafia ni kuangalia papa nyangumi wanaokuja zaa na talii za ufukweni

Back
Top Bottom