ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Acha mazembe ww utaishi miaka mingapi na Figo zako ambazo hazina sumuHalafu wewe, bado tu unalewa? Hujajua kuwa pombe ina sumu?
Acha mazembe ww utaishi miaka mingapi na Figo zako ambazo hazina sumuHalafu wewe, bado tu unalewa? Hujajua kuwa pombe ina sumu?
Mbna mwamposa biashara yake inaenda vzurUsianzishe kama Mungu hajakuambia
Makanisa mengi yanakufa Kwa sababu hiyo
Inaenda vizuriMbna mwamposa biashara yake inaenda vzur
Roho Mtakatifu ndiye anayegawa au anayempa mtu huduma ya utume, uchungaji au uinjilisti, sio kwa kuota.Zambi gani mbona Paulo aliota Kwann mm nisiote halaf niwe mtume
Ndio mkuu mjini akili tu wazungu wanasema opportunity doesn't happen, you create themKwahiyo na wewe unataka ufanye biashara?
Namm atanipa mkuuRoho Mtakatifu ndiye anayegawa au anayempa mtu huduma ya utume, uchungaji au uinjilisti, sio kwa kuota.
1 Wakorintho 12:4-11
“Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule. Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule. … Lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo.”
M naangalia faida tu hayo ya kwel au uongo anajua yy na nafsi yakeInaenda vizuri
Ila jiulize je ni mtumishi wa kweli?
Hakika mkuu, shemeji kasafir nn maana usku mkubwa ni muda wa kubembelezwaKama apendavyo Yeye
Mt Ritha utuombee Mimi, setfree na secretarybirdHunRitha utuombee ja ya kuombewa na Mt Paulo. Omba mwenyewe, Mungu anasikia(Mathayo 7:7)
Tawire