Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano:
#1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8).
Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa.
Katika...
1. Paulo, aliyefahamika awali kama Sauli, alikuwa Farisayo aliyejitoa kuwaudhi Wakristo wa kwanza. Alishiriki moja kwa moja katika kuuawa kwa Stefano na alikuwa na chuki kubwa dhidi ya jina la Yesu.
2. Alikutana "live" na Yesu na kubadilishwa kabisa. Akiwa njiani kwenda Dameski ili kuwakamata...
Wale vijana wa kataa ndoa wana haki ya kusema ndoa sio lazima kwa sababu hata Biblia Takatifu inasema kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, basi usijaribu kabisa kuingia kwenye ndoa.
Wakorintho 1, Sura ya 7: 8-9 Mtume Paulo anasema ndoa iwe ni last option baada ya kua umeshindwa kabisa na huna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.