Mjomba ni Mama
Member
- Jun 25, 2015
- 69
- 32
Nimependa sana vigezo walivyotumia. Ni vya haki kabisaKama secta
Angalia mara Mbili Mbili Ndugu YanguKudadekii haya majina sio yenyewe ,mbona simoo?????
Umeongea kweli mkuuNaona Afya wameamua kuchukua wenye elimu ya kada ya chini mnoo kwa asilimia kubwa.Ndo masuala ya cheap labor?
Bora ata MD wapo 93 wafasia ni 4 tu mkuu,MD wachache sana aisee
Wakati kwenye hospitali za wilaya huku mikoani MD hawatoshi kabisa
Anyway tuwe na subira
Endelea kulinda mkuu🤣Kudadekii haya majina sio yenyewe ,mbona simoo?????
Wangekuwa hawataki ajira basi wasingeomba hizo ajira.Aisee.
Kazi ipo.
Nimeona katibu mkuu anasema wamezingatia umri kwanza. Eti watu wa miaka zaiid ya 40 wasipoajiriwa hawatakuja kuajiriwa tena, kwani ni lazima waajiriwe?
Mambo ya hovyo kabisa.
punguza jazba ndugu, kuna ajira elfu 40 zinakujaAisee.
Kazi ipo.
Nimeona katibu mkuu anasema wamezingatia umri kwanza. Eti watu wa miaka zaiid ya 40 wasipoajiriwa hawatakuja kuajiriwa tena, kwani ni lazima waajiriwe?
Mambo ya hovyo kabisa.
Lini mkuu, sio kwamba kwa upande wa waalimu ndio imetoka hii, mpaka mwaka kesho tena mwaka mwingine wa bajeti.punguza jazba ndugu, kuna ajira elfu 40 zinakuja