Teknolojia za upigaji picha na usafishaji kufikia hizo images ni tofauti mkuu....hapa kuna swala la ukubwa wa kamera -megapixels, power ya telescope katika kifaa kilichochukua picha, other technologies na usafishaji katika maabara mbalimbali...
Ukitazama picha ya 1968, utaona kabisa teknolojia pale ni tofauti na sasa, ingawa usafishaji wa picha umekua improved kwa vifaa vya kisassa....
pia umbali...picha ya kwanza imepigwa ndani ya kilometa laki 4, ile ya tatu imepigwa karibu kilometa milioni 2 naa....kwahiyo hapo ni swala la power ya telescope au darubuni...
Kwa swala la mabadiliko, yawezakana ndio....kuna tofauti ya wingu zito jeupe linaloizunguka dunia kwenye picha ya 1968 ukilinganisha na hizi za karibuni....na of course nia ya hizi picha ni kujaribu ku address hiyo issue....kwa msisitizo wa mkutano ulioisha na kusainiwa makubaliano.. majuzi ..wa kulinda mazingira kwa kupunguza emission ya hewa ya carbon hewani...