Tazama dunia ilivyo bluu, new released image

Tazama dunia ilivyo bluu, new released image

Asilimia sabini Na tano dunia ni Maji Na asilimia Sabin ya Maji ni bahari Na bahari ni ya kijani

Ubluee unatoka wp tena


Maji ni colorless, ila yanaakisi rangi ya bluu unayoiona angani.

Kujua hiyo rangi ya blue iliyopo angani imetoka wapi refer physics topic za Wave.
 
Maji ni colorless, ila yanaakisi rangi ya bluu unayoiona angani.

Kujua hiyo rangi ya blue iliyopo angani imetoka wapi refer physics topic za Wave.

Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
light (taa) ina wavelengths tofauti mojawapo ikiwemo blue( rangi zote ni Red Orange Yellow Green Blue Indigo Violet). inapopenyeza anga na kufika maji hizo wavelengths zingine zinakuwa absorbed na blue ndo inakuwa reflected na ndo chenye tunaona na macho
 
Rangi iliyotawala ni bluu.....na maeneo yenye bluu iliyokolea ni bahari.....mabara yanaonekana na kutambulika...

hahahha (muongo, uongo) hahahah...wenzangu mnaona rangi zipi...tushee basi
Hahahaha! Yani hicho chombo kinachora hadi ramani jamani.. Kwanza mlishaambiwaga hiyo habari ya apolo ni wizi mtupu!!!!
 
Hahahaha! Yani hicho chombo kinachora hadi ramani jamani.. Kwanza mlishaambiwaga hiyo habari ya apolo ni wizi mtupu!!!!
hahahaha, mie naamini unaelewa maana ya utawala wa sheria..wenzetu kule wanaishi hilo......mkuu NASA hupokea hela ya walipa kodi kupitia serikalini, na bunge (congress) hupitisha matumizi hayo.....na mabunge ya wenzetu si lelemama, kamati za matumizi na kamati za sayansi ziko effective kule....na kabla ya mabunge kuidhinisha matumizi ya NASA kuna wataalamu kibao huitwa kujieleza mbele ya kamati husika na mpaka kamati hizo ziridhike ndio mkakati unapigiwa kura bungeni kupitisha matumizi...

mission ya apolo ilipitia huo mlolongo na matokeo yalionekana...na ndio maana mpaka leo hakuna aliye fungwa kuhujumu pesa ya walipa kodi wa kimarekani kwa kisingizio cha kwenda mwezini....

Nasi Tanzania tuwe na mifumo hii kudhibiti uingiaji wetu mikataba katika miradi ya kimaendeleo katika nchi.....mikataba ipitie bungeni kujadiliwa na kupigiwa kura....na ikisha pitishwa wakiukaji wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria kujibu mashitaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom