Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,424
Utabidii ufunge safariii angalau uende cocobeach ukashangae bahariii...hlf utajua maji ya bahariii yana rangii gani...
Maji hayana rangi mkuu

Am with u broh75% ni maji!
anga ni la blue!
Ni lazima itareflect!
EARTH MUST SEEN IN BLUE!
Ok...maji hayana rangiii...baharii ina rangi ganiii
Mungu wa ajabu! eti maji yamezunguka dunia na dunia inaelea angani
Ila wa ajabu zaidi huyo aliyemuumba mungu.Mungu wa ajabu! eti maji yamezunguka dunia na dunia inaelea angani
Kila muda nikiangalia these images I can't stop wondering how small we are, yaani kwenye level hiyo ukilinganisha na scale yetu ya kawaida hata sisimizi mkubwa. We are so tiny and that makes us very vulnerable, yaani any big object kikipotea njia kinaweza kutu-crush, the entire human race can disappear within a flash.
The good thing we are smart, tunaweza trace any object ambayo inaweza kua dangerous from million of miles away na kama path yake inalead to earth then we can look for measures hata kutuma nuclear bombs kuhakikisha tunakigawanya kupata pieces ambazo zinaweza vutwa into other object's gravity na tukabaki na small pieces ambazo zinaweza kua burnt down before reaching on the surface. Our only problem would be to face a different race that's smart or smarter compared to us au phenomena kama death of a star n black holes, those ones we can't escape.

Mwezi siyo sayariPic imepigwa kutoka kwenye sayarii nyingine...mfano. mwezini
Mwezi siyo sayari