Tazama birthday za vijana wa sasa

Tazama birthday za vijana wa sasa

BaLDdKKCUAA-LkF.jpg

I love this actor..... His actions...

Send my regards to him pls.
 
I love this actor..... His actions...

Send my regards to him pls.
😀😀😀😀😀.

Yeah, He is a great Man and He is Funny.

This Guy is the Funniest COMEDIAN I have ever seen
 
akili za watu walio wengi wa nchi hii(majority) NB:sio wote....,wanaifanya nchi hii kuendelea kuwa maskini kutokana na kuwa wanapoteza muda mwingi kwenye kufanya mambo ya ajabu badala ya kufikiria ni nn cha kufanya ili waweze kujikwatua kutokana na umaskini walionao au hali walizonazo ss
 
Kitu ambacho nimeshindwa ni kuruhusu watu kujua tarehe yangu ya kuzaliwa, wanajua watu wa karibu sana wa familia yangu, kuna hata ndugu zangu wa kuzaliwa tumbo moja hawajui siku yangu ya kuzaliwa,
 
Labda uniambie kabla kwamba unatanimwagia maji la sivyo hiyo sherehe ndio inaishia hapo, keki yangu, unimwagie maji? Patachimbia tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom