Tazama birthday za vijana wa sasa

Tazama birthday za vijana wa sasa

Ujinga mtupu... kwanza sijui Nani alianzishaga kusherehekea iyo kitu mbona kama haina tija

Eti krismasi hawa nao mawlid ya Mtume kila mwaka... ndo walianzia huko kuwaingia taratibu na bado tu mwishowe mtajikuta mnafuata mienendo yao full
 
201135d3c491b51054b20b290ace9a3f.jpg
Mazingira yao yenyewe yanaonyesha jinsi akili zao zilivyo, ni kuchafu
 
Khaaaaa nani Alianzisha huu mchezo? Au vijana wameiga wapi?

Maana siku hizi hata mastaa wakivaa chupi kichwani nao wataiga tu
 
Mimi nawashangaa sana watu wanaoponda hapo..
Yan mtu birthday ni yake , cake ni yake sherehe kaandaa yeye.. maji wamechota rafiki zake

Halafu jitu linakuja kutoka povu kama vile lilimzaa lenyewe au hela ya party anatoa yeye..
Hivi lini watu mtapambana na hali zenu muache kufwatilia mambo yasiyowahusu.

Kwani hizo birthday party ndo zinazuia uchumi wa viwanda??
Unaona wanachofanya hao ni kitu ambacho kijana mwerevu na msomi anapaswa afanye? Ulipokuwa unaanza kujifunza kusoma na mwalimu angesema hasumbuki kila mwanafunzi apambane na hali yake ungejua kusoma? Au na wewe ni mteja wa kumwagiwa maji machafu?
 
Michezo yao huanzia mbali sana wengi vidudu vyao havina misuli
 
Kuna mmoja hapo amechapia lock ya kisasa kwenye mdomo. Hataki kabisa kumeza kinyesi! 😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom