Mimi nawashangaa sana watu wanaoponda hapo..
Yan mtu birthday ni yake , cake ni yake sherehe kaandaa yeye.. maji wamechota rafiki zake
Halafu jitu linakuja kutoka povu kama vile lilimzaa lenyewe au hela ya party anatoa yeye..
Hivi lini watu mtapambana na hali zenu muache kufwatilia mambo yasiyowahusu.
Kwani hizo birthday party ndo zinazuia uchumi wa viwanda??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.