Tayoa emloyment portal imeishia wapi ?

Tayoa emloyment portal imeishia wapi ?

master peace

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
1,450
Reaction score
444
Wanabodi heshima kwenu wakuu;

Ni dhahiri web page ya TAYOA ( Tanzania Youth Alliance ) imekuwa msaada mkubwa sana, hasa kwa sisi ambao uwezo wa kununua magazeti kila siku ili kuangalia matangazo ya kazi uko mashakani. Kwani web page hii hutoa summary za ajira zilizotangazwa kila siku; Kwa upande wangu mambo yamekuwa ndivyo sivyo kwani yapata week sasa hii page haifunguki. Hivyo basi nimekuwa blocked na sijui kinachoendelea kwenye soko la ajira.

Tafadhali wadau naombeni msaada wenu.
 
nenda zoomtanzania

zoom sometime matapeli wanajipenyeza, kwani nimeshawahi kukutana na matapeli huko. Ki ukweli tayoa ilikuwa poa sana kwani ilikiwa inascan matangazo kwenye magazeti hivyo ni ngumu matapeli kujipenyeza.
 
Wanabodi heshima kwenu wakuu;

Ni dhahiri web page ya TAYOA ( Tanzania Youth Alliance ) imekuwa msaada mkubwa sana, hasa kwa sisi ambao uwezo wa kununua magazeti kila siku ili kuangalia matangazo ya kazi uko mashakani. Kwani web page hii hutoa summary za ajira zilizotangazwa kila siku; Kwa upande wangu mambo yamekuwa ndivyo sivyo kwani yapata week sasa hii page haifunguki. Hivyo basi nimekuwa blocked na sijui kinachoendelea kwenye soko la ajira.

Tafadhal dau naombeni msaada wenu.

dah mi pia nasikitika tayoa portal kutopatikana,t was very helpful...wahusika tuambieni wats goin on...
 
For sure Tayoa ilikuwa ni msaada mkubwa kwetu kwani kulikuwa hakuna umuhimu wa kununua magazeti. Matangazo ya ajira walikuwa wakiscan kwa uhodari mkubwa sana.

Kwa kweli ni pigo na msiba mzito.
 
Labda sponsor au mdhamini wa mtandao mkataba umekwisha, cozkama sikosei ni mtandao uko chini ya wizara ya kazi na vijana.
 
Jamani kama wahusika wa TAYOA wapo humu jamvini watusaidie kwani tayoa ni msaada mkubwa kwetu sisi tusio na uwezo wa kununua magazeti
 
Bc mi nkajua ni moderm nayo2mia. Lbd wako kw marekebsho itarud soon
 
msaada jamani mbona nikienda kwenye Tayoa inafungua lakini nikitaka ku view page inaniambia not found help please
 
hii page nahisi ina matatizo some time inafunguka sometime nooo. w
 
Jamaani zoomtanzania kazi zetu nyingi zinatoka kwenye magazeti nayo ni daily news na Guardian. Na wakati wote tuna acknowledge source za kazi za magazeti. nafasi zingine za kazi zinatoka recruiting agency wao huwa wanatutumia wenyewe moja kwa moja. Hivyo basi niwatoe hofu kuhusu matapeli kwani matapeli kwenye mitandao wapo wengi dunia nzima ila sisi kama zoomtanzania tunachuja na tuna vigezo vyetu vya kazi zinazotangazwa.kama mtu akituma nafasi za kazi na hazina vigezo vyetu huwa hazitangazwi. Karibuni sana kutumia zoomtanzania kwani ina ubora zaidi.
 
Zoomtanzania mnajitahidi lakini mpangilio wenu wa matangazo si mzuri,mnaficha hadi contacts za waajiri
 
Hiki ndicho kilichotokea VIjana Portal

The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.
 
Hiki ndicho kilichotokea VIjana Portal

The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.

aswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:A S 465:
 
Jamaani zoomtanzania kazi zetu nyingi zinatoka kwenye magazeti nayo ni daily news na Guardian. Na wakati wote tuna acknowledge source za kazi za magazeti. nafasi zingine za kazi zinatoka recruiting agency wao huwa wanatutumia wenyewe moja kwa moja. Hivyo basi niwatoe hofu kuhusu matapeli kwani matapeli kwenye mitandao wapo wengi dunia nzima ila sisi kama zoomtanzania tunachuja na tuna vigezo vyetu vya kazi zinazotangazwa.kama mtu akituma nafasi za kazi na hazina vigezo vyetu huwa hazitangazwi. Karibuni sana kutumia zoomtanzania kwani ina ubora zaidi.

nyinyi zoomtanzania waongo, hizo kazi mnaficha contacts za mwajiri ili muuze hizo nafasi, km vp ni PM tuongee dili na mm nataka hy nafasi.

sorry kwa kulibwaga hadharani.
 
Back
Top Bottom