Tayari Watu wameshapigwa huko!

wacha wapigwe GENTAMYCINE
 
Katika hii video, kuna hiyo Certificate of Incorporation imeonekana, nadhani ni feki. Wenye certificate hizi mpya za tarakimu 9, angalieni saini, mlinganishe na hii ya kwenye hii video
 
Tufanye kazi hakuna pesa rahisi hivo. Pole kwa walio pigwa.🀯
 
Hamna hela ya urahisi chini ya jua. Mungu alishasema mtakula kwa jasho, wewe ni nani hadi umpinge Mungu na kanuni zake?
Bwana Wee! Wanaamini utapata hela kwa Kuclick Mausi ya Computer. Jamaa wanafikiria kuwa na usajiri wa Brela basi sio Matapeli. Mama kwenye hii video kapigwa zaidi ya 5M na Bado watu wengine waliopanda 10M na kuendelea- ila wamewaachia viatu na Tai
 
Wabongo asilimia kubwa ni wajinga
Na bado wataendelea kupigwa
Maana hawasikiii,hawaelewi

Ova
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…