Tayari mabomu yanarindima hapa Njombe muda huu

Tayari mabomu yanarindima hapa Njombe muda huu

Nipo barabarani tayari.Polisi wametanda eneo lote la hospitali.

Njombe1.jpg
 
Poleni sana wana Njombe. Huyo Rose Mayemba ndiye mratibu wa vurugu hizo. Thanks jeshi la Polisi kwa kuwatawanya maana hali ingekuwa mbaya sana kwa wasafiri wanaotoka Songea. Ila hakikisheni mnamkamata huyu Rose Mayemba

Hii inaonyesha MADARAKA WINE hayachagui hata wototo wao nao wamelewa hivyo hivyo..........Angalia lakini usije ukajikuta unadumbukia chooni baada ya kunywa hivyo kitu MADARAKA WINE.........
 
Hivi hii nchi bila mabomu hakuna muafaka?

Nasikia kuna gari mia saba zipo njiani sijui kwa ajili ya sisi wananchi tuliowaweka madarakanii au kwa ajili ya kulinda nchi yenu na wavamizi wanaovamia nchi na kuchukuwa twiga walio hai:what::banghead:
 
Hivi hii nchi bila mabomu hakuna muafaka?
Hukumsikia mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi akichangia bungeni!?
Kwa kifupi ni kuwa wameingiza shehena kubwa ya haya madude na huenda maelekezo waliyopewa ni kuanza kuyatumia mapema ili kujenga hofu ya kutosha kuelekea Oktoba!

 
Poleni sana, hata wakina mama kabla ya kujifungua wanapitia hatua ya uchungu, vivyo hivyo kabla ya ukombozi lazima madhila Kama haya yatokee, kuweni na moyo mkuu, serikali inayowajibika kwa wananchi wake inakuja haya yote yatakuwa historia.
 
Ndio maana shilingi inashuka thamani kwakuwa pesa nyingi zinatumika kununulia mabomu na virungu kwa ajili ya kuwalipua raia ambao ndio watoa kodi wa nchi hii. Imefika mahali sasa inabidi tuamini kuwa serikali yetu haiwezi kuwepo bila mabomu na virungu. Hivyo huyo raia waliyemuua kwasababu eti alikuwa anazurula, walimpa kazi akaacha kuifanya na kwenda kuzurula? Mbona katiba inasema raia anahaki ya kwenda popote ili mradi asivunje sheria. Sasa kama alikuwa matembezini ana kosa gani?
 
Ili kupata haki na kuheshimika, raia washughulikien hao poli wanaporudi uraian kutoka kazin, kwanini watuuwe wakati wanavunja katiba ya nchi.
 
moshi hauchagui ila wao wangeweza kuchagua njia mbadala kwa kuzingatia uwepo wa hiyo hospital...wangeweza kuwamwagia maji kuwapiga ngumu au kuwakimbiza kwa mbwa!
Kwenye hizo picha sioni dalili zozote za mabomu. Hao wahuni waliosimama hapo kama wangeweza kutii sheria bila ya shuruti hakika kusingekuwa na madhara
 
They will never understand why you are protesting, unless you took to the street in totality!
 
Back
Top Bottom