Clemence Baraka
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,693
- 652
mabomu yamerundikana stoo ni lazima yapunguzweHivi hii nchi bila mabomu hakuna muafaka?
mabomu yamerundikana stoo ni lazima yapunguzweHivi hii nchi bila mabomu hakuna muafaka?
poleni sana wana njombe huu uvumilivu una mwisho wake.
mwisho wake wapi?
Hata msemeje ccm ni Chama dume
Poleni sana wana Njombe. Huyo Rose Mayemba ndiye mratibu wa vurugu hizo. Thanks jeshi la Polisi kwa kuwatawanya maana hali ingekuwa mbaya sana kwa wasafiri wanaotoka Songea. Ila hakikisheni mnamkamata huyu Rose Mayemba
Hivi hii nchi bila mabomu hakuna muafaka?
Yaani binti mdogo kama Rose Mayemba anaweza kulihenyesha jeshi zima la Polisi Njombe? Acha ujinga gamba.
Njombe Chadema wanaiharibu sana sasa hivi.. Wabena sijui wamekuaje siku hizi
Hata msemeje ccm ni Chama dume