Tayari mabomu yanarindima hapa Njombe muda huu

Tayari mabomu yanarindima hapa Njombe muda huu

Poleni sana wana Njombe. Huyo Rose Mayemba ndiye mratibu wa vurugu hizo. Thanks jeshi la Polisi kwa kuwatawanya maana hali ingekuwa mbaya sana kwa wasafiri wanaotoka Songea. Ila hakikisheni mnamkamata huyu Rose Mayemba
inapofikia hata DC wa mtandaoni anakuwa fyetu unakuwa huelewi wait and see after 25th October
 
Polisi wawapige tu...maana sisi RAIA wa Tanzania tumezidi vihelehele....
 
Wanafanya mazoez ya 25 october maana nchi itacharuka pale ccm watakapo goma kutoka magogoni.
 
Mzuzuraji anapigwa risasi na kufa? Hapana,nasema haiwezekani kabisa.
Kwanza wamejuaje kama ni mzururaji? je,kama ni raia mwema mwenye heshima zake alipata shida usiku na kuamua kutoka ili kuitatua?
Kwanza kwanini wampige risasi badal ya kumkamata?
Mtu hana hata silaha,anapigwa risasi? tena na polisi wa Tanzania na sio labda Marekani?
Kama ni kweli hili limefanyika,mkuu wa polisi wa eneo anapaswa kuwajibishwa.Kama ni kweli huyo mtu ameuwawa kwa kuzurura,bila kujali labda mtu amechelewa kufika nyumbani kwake kwa sababu azijuazo,naye anapaswa kupigwa risasi kwa uzembe.
Serikali tafadhali,msiendeleze huu uzembe na upuuzi wa kujichukulia sheria mkononi kwenye mambo madogo hivi.Asiyesikia la mkuu,limtokealo atajuta japo najua mtoto mkaidi hafaidi mpaka mwandamo wa mwezi!
 
Na wanaleta mengine 700

Twendelee kutoa ushilikiano wa dhati kwa watu wanao vunja vituo vya police na kuuwa police na kutokomea na siraha au? Yupi kati yao na police anayesaidia wananchi?
 
Wananjombe endeleeni kuyazoea maana huko tuendako kwenye kampeni za uchaguzi mkuu itakuwa ni kila siku
 
Poleni sana wana Njombe. Huyo Rose Mayemba ndiye mratibu wa vurugu hizo. Thanks jeshi la Polisi kwa kuwatawanya maana hali ingekuwa mbaya sana kwa wasafiri wanaotoka Songea. Ila hakikisheni mnamkamata huyu Rose Mayemba

Bora kuwa mlevi wa gongo na ulanzi kuliko kulewa madaraka
 
Hivi CHADEMA mmeshindwa kabisa namna ya kuendesha siasa zenu bila fujo na kushindana na vyombo vya ulinzi na usalama?
 
Poleni sana wana Njombe. Huyo Rose Mayemba ndiye mratibu wa vurugu hizo. Thanks jeshi la Polisi kwa kuwatawanya maana hali ingekuwa mbaya sana kwa wasafiri wanaotoka Songea. Ila hakikisheni mnamkamata huyu Rose Mayemba
siku mabwana zako watakpoacha kukutupia makombo sakafuni utakuja hapa na kuanza kulialia,tutakochafanya sisi ni kukutia masingi ya bichwa,..kamuulize ze macopolo yaliyomkuta kituo cha polisi nakuja humu na kuanza kuilaani ccm,bogus wewe..
 
Twendelee kutoa ushilikiano wa dhati kwa watu wanao vunja vituo vya police na kuuwa police na kutokomea na siraha au? Yupi kati yao na police anayesaidia wananchi?

Kama Mwanachi kazi yangu SI KUILINDA POLISI bali POLISI KUNILINDA MIMI NA MALI YANGU..Na kazi ya POLISI si KUUA RAIA BALI KUWALINDA RAIA NA MALI ZAO..........

Mengine ni maelewano ya Polisi na raia kusaidiana ili kuweka mazingira salama ya kila mmoja wetu.Kumbuka MISHAHARA NA MARUPURUPU YAO NI KODI zetu
 
Hivi CHADEMA mmeshindwa kabisa namna ya kuendesha siasa zenu bila fujo na kushindana na vyombo vya ulinzi na usalama?

Kaka yangu ungekuwa MUUNGWANA zaidi kama ungejishusha na kuuliza tukio limesababishwa na nini?Hivi huyu mwanachama wa CDM siyo MTANZANIA?Na Je hastahili KUISHI?Je wanaostahili KUISHI Tanzania ni Wanachama wa CCM tu?

Hata kama ni hayo MADARAKA mwenzetu umelewa CHAKARI..........Kumbuka itakapofika 2015 Mzee akiondoka na zile ATM zikaisha pesa, basi tutakuwa wote huku kwenye mabomu......
 
Police wanaihujumu serikali ya chama cha machapati(c.c.m) makusudi ili kionekane kinaonea raia.C.C.M amkeni.
 
Back
Top Bottom