Tayari mabomu yanarindima hapa Njombe muda huu

Tayari mabomu yanarindima hapa Njombe muda huu

Baadhi ya picha
 

Attachments

  • 1432126476791.jpg
    1432126476791.jpg
    28.8 KB · Views: 418
polis wanatekeleza amri ya pinda ya wapigwe tu. mgombea urais yeyote lazima awahaidi watanzania namna ya kuondoa mauaji haya ya polis dhidu ya raia wasio na hatia.
 
Watu wakisema kuwa Serikali Dhaifu na Legelege mnakataa hadi mishipa ya shingo inasimama.

Kwa nini jeshi la polisi wasimpige mabomu au kumkamata Polisi aliyeua???

Je kama Raia angemuua Askari Polisi, hapo polisi wasingechukua hatua na kumkamata muuaji au wangemuangalia na kumlinda tu???


Ndugu yangu Lizaboni, wakati mwingine tuweke pembeni ushabiki, tuongee katika uhalisia na pia tuonyeshe kama tumejali na kuwahurumia waliiokumbwa na maafa.

wenzenu moro ckuizi uvumilivu umewashinda police akialibu laiya wanaingilia wanatandika kisawasawa mwezi uliopita katandikwa police wa bodaboda hadi leo bado hajaludishwa toka muimbili na lazima ataludi na utaila wamegonga sana kichwa sasaivi watunaendesha pikipiki kwa raha kabisa moro wameshaipata adabu.
 
Last edited by a moderator:
kabla sijakudharau milele ningeomba kufahamu kiwango chako cha elimu , maana kumdharau mbumbumbu ni dhambi .

kama utakuwa umemdhalau ushapata zambi kwani kwa kutumia post yake umeshinda kumfahamu ni wa kiwango gani?
 
Poleni sana wana Njombe. Huyo Rose Mayemba ndiye mratibu wa vurugu hizo. Thanks jeshi la Polisi kwa kuwatawanya maana hali ingekuwa mbaya sana kwa wasafiri wanaotoka Songea. Ila hakikisheni mnamkamata huyu Rose Mayemba

Mmh.! Hii kali una uhakika mkuu.?!
 
wewe upo wapi?

Kwa hiyo wamefanya sawa kuua na kutawanya raia kwa mabomu.? Kama na wewe ni polisi nashauri livunjwe na liundwe upya.maana mna kasumba nyie wala haitoki hata msomeswe vp namna ya kukabiliana na raia hamuelewi.!
 
Ka bahati mbaya sana moshi hauchagui mahala pa kwenda. Mabomu ya machozi ni moja ya silaha zinazotumiwa na jeshi la polisi

Kweli CCM is a mental disease, what a pathetic kind of reasoning?!

Sitashangaa baadaye ukitetea askari kwa kuuwa Raia, kwamba risasi haina macho!

Kweli ugonjwa wa CCM ni janga la nchi hii.
 
Nguvu ya umma ni mbaya sana. CCM wanadhani watanzania wa leo ni wale wa miaka ya 80?
 
Njombe Chadema wanaiharibu sana sasa hivi.. Wabena sijui wamekuaje siku hizi
 
Polisi wa Tanzania wamezidi kutumia mbinu za kigaidi kuthibiti migogoro ambayo kimsingi wanaisababisha wao wenyewe...

Haya ndo madhara ya kuingiza idadi kubwa watu waliofoji vyeti vya masomo kwenye taasisi nyeti za serikali...
Busara hamna..wanatumia kamasi tu kufikiria...

Shame....!!!
 
Muda huu polisi wametanda mji mzima wa njombe.pia kwa BAHATI mbays nimepata taarifa kuwa natafutwa.ila siogopi Mungu ninayemwamini atanipigania
 
Poleni sana wana Njombe. Huyo Rose Mayemba ndiye mratibu wa vurugu hizo. Thanks jeshi la Polisi kwa kuwatawanya maana hali ingekuwa mbaya sana kwa wasafiri wanaotoka Songea. Ila hakikisheni mnamkamata huyu Rose Mayemba
Yaani binti mdogo kama Rose Mayemba anaweza kulihenyesha jeshi zima la Polisi Njombe? Acha ujinga gamba.
 
Mkimkamata askari mmoja mfanyeni kama yule wa Burundi juzi....

Hapana msifanye hivyo......subira yavuta kheri, OCTOBER sio mbali hasira zote kwenye box ya kupigia kura tu...hao polisi wanalinda chama na sio raia
 
polis wanatekeleza amri ya pinda ya wapigwe tu. mgombea urais yeyote lazima awahaidi watanzania namna ya kuondoa mauaji haya ya polis dhidu ya raia wasio na hatia.

Na yeye huyo punda ndo anautaka urais!
 
Back
Top Bottom