fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 3,042
- 2,235
Dah hawa jamaa bana....
Latest Toyota Land Cruiser becomes cop car, joins Abu Dhabi, Dubai police fleets
Warabu hawana maana kabisa 😂😂😂
Hahah ili uipandeningepambana nikamatwe
Umeendesha wapi?Hii gar inakimbia Kama jini ndio Mana wameitumia kwa police dptmnt uko Dubai
🤣🤣🤣ningepambana nikamatwe
Washenge kweli hawa.....
Kibaka wa kibongo akiwekwa humo lazima wakati anaondoka aondoke ata seat cover😂😂