CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
JPM anawachagua watu kwa vile ni makada wa CCM na si weledi! Mtu ametoka nyumbani na mission kubwa kama hiyo, waziri mwenye taaluma ya ulinzi unasema ajisalimisheKhaaa! Eti anatoa rai wahusika wajisalimishe...
Swali la muhimu ni je kulikua na ulazima gani wa kuvaaa hivyo na kwenda kwenye tukio?Mshana ndugu yangu haya maigizo mwisho lini. Sina CV yake ila nahisi hana mafunzo ya kuwa Askari wala namba hana. He viongozi wataacha lini hizi drama. Kuvaa ivyo ni kwaajili ya nini? Wananchi wanawatazama. Wanaiwaiga wanapelekwa polisi ila wao wanatazamwa. Shame on them. Sheria ni msumeno.... Tujitahidi kupata maelezo mantiki ya kuvaa izo nguo ulikuwa ni IPI?
Nadhani angevaa tu kofia ngumu na bullet proof. Ktk nguo zake za kawaida. Hivyo ndivyo alitakiwa afanye... Ila yeye kajipa ujiko kuonekana na yeye ni mzee wa "VUNJA UKUTA" mkuu tushikamane tuone kulikuwa na umuhimu gani mwigulu nchemba kuvaa vile?Swali la muhimu ni je kulikua na ulazima gani wa kuvaaa hivyo na kwenda kwenye tukio?
Nadhani angevaa tu kofia ngumu na bullet proof. Ktk nguo zake za kawaida. Hivyo ndivyo alitakiwa afanye... Ila yeye kajipa ujiko kuonekana na yeye ni mzee wa "VUNJA UKUTA" mkuu tushikamane tuone kulikuwa na umuhimu gani mwigulu nchemba kuvaa vile?
Mkuu mavazi ni petty staff right? Haikuwa Ni headlines Siku chache zilizopita na Ku sema kuwa jeshi linadhalilishwa na ze comedy. Sasa iweje bila sababu maalum mwigulu kuvaa vile. Kulikuwa na umuhimu kiasi gani. Ye akuona ingelikuwa hatari zaidi? Wangemuua je??Mnadiscuss mavazi tena aaah wazee hizo ni petty staff hasa katika nchi kma hii lililo kubwa hapo ni uwajibikaji juu ya kudhibiti matukio kama hayo
Hali si shwari kabisa na huo ni mwanzo tu kama unakumbuka matukio ya kupora silaha rai yangu ni kwamba mufahamu bwawa la kijiji tayari lina ruba wengi sana sasa wandugu muwe makini katika mikusanyiko,na sehemu za starehe maana hili si swala la kubeza kabisa, lolote linaweza tokea .
Mtandao ni mkubwa na haya mambo hayafanyiki kiolela yamepangwa kama mnakumbuka waliaanza kwa kuiba silaha pembezoni mwa miji sasa wanazidi kuhakikisha wanatimiza hatma yao ambayo mimi wala wewe hatuijui isipokua mshindo lazima ufate.
Sijui kama umesoma zaid ya mara moja nilicho andika... Watu wa4 wamekufa kwa tukio la uporaji siraha sio mamillion ya pesa... Bado kuna taadhari kubwa inayokuhusu ata weweMkuu mavazi ni petty staff right? Haikuwa Ni headlines Siku chache zilizopita na Ku sema kuwa jeshi linadhalilishwa na ze comedy. Sasa iweje bila sababu maalum mwigulu kuvaa vile. Kulikuwa na umuhimu kiasi gani. Ye akuona ingelikuwa hatari zaidi? Wangemuua je??
Naishi mbagala. Karibu na eneo la tukio nimepata info zote. Na kuna wanaonihusu ktk walojeruhiwa. In short I know in and out ya tukio zima. Sasa swali langu lijibu kulikuwa na umuhimu gani mwigulu kuvaa vileSijui kama umesoma zaid ya mara moja nilicho andika... Watu wa4 wamekufa kwa tukio la uporaji siraha sio mamillion ya pesa... Bado kuna taadhari kubwa inayokuhusu ata wewe
Mi sio ukawa. Je chadema walivaa za mgambo lini. I need a vivid example.... Like I did.Ukawa kwa NONGWAAAA... chadema wanavaa za mgambo hakuna aneyehoji
Ukishaangaa ya orijino komedi utajionea ya mwigulu nchemba na magufuli wake.View attachment 386759
wafutiwe kesi, kumbe kama comedians wanaruhusiwa kuzivaa.
Kukaa huko sio shida mmoja kati ya waliokufa yani dereva ni rafiki yangu mi naishi hapa azam complex so bado haizuii kusema izo nguo ni petty staff nilichopost awali kama kina kufaa chukua kama hakikufai acha ila nikutaazalishe zaidi kua mbande na chamazi kwa sasa ni moja ya sehemu wanazoishi majambazi wengi (mafichoni)..Naishi mbagala. Karibu na eneo la tukio nimepata info zote. Na kuna wanaonihusu ktk walojeruhiwa. In short I know in and out ya tukio zima. Sasa swali langu lijibu kulikuwa na umuhimu gani mwigulu kuvaa vile
..kumbuka kila neno moja alilokuwa anaandika majambazi walikuwa wanazidi kutokomea
wajisalimishe hahaha
Kisheria anaruhusiwa kuvaa hizi nguo au anaiga za comedy?
View attachment 386735View attachment 386736View attachment 386737
Naifahamu vizuri icho unachonambia. Nikuletee gwanda uvae? Itakuwa ni petty staff. Who cares?Kukaa huko sio shida mmoja kati ya waliokufa yani dereva ni rafiki yangu mi naishi hapa azam complex so bado haizuii kusema izo nguo ni petty staff nilichopost awali kama kina kufaa chukua kama hakikufai acha ila nikutaazalishe zaidi kua mbande na chamazi kwa sasa ni moja ya sehemu wanazoishi majambazi wengi (mafichoni)..
Nikuombe urudie kusoma nilicho post awali kitakusaidia ata wewe.
Mungu wangu hivi unaelewa dhana ya uwajibikaji kweli wewe?Kwa hiyo kama asingeandika majambazi yasingetokomea?
Kwani kazi ya waziri ni kufukuza majambazi?
Kuna hoja zingine za kijinga sana humu.