TAWLA yapendekeza Ubakaji utambulike kuwa Kosa la Jinai kwa Wanandoa

Binafsi naunga mkono hoja kuhusu kumwingilia mwanamke (Mke) kinyume na maumbile kuwa Kosa la jinai, kwanza naona kama hii sheria imechelewa Ila kumwingilia Mke kawaida bila ridhaa yake kwa sasa iachwe kwanza kwani kunaweza kuwa na kesi nyingi za hovyo hovyo/zakusingiziana

Ikumbukwe kuwa, sasa hivi kuna changamoto kubwa ya wanandoa wengi wa kike kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi na kuna sababu nyingi za msingi zinazohita Elimu, Elimu, Elimu. Sasa TAWLA wasijefikiri wanatoa suluhusho wakaleta tatizo kubwa zaidi la kuvunjika kwa ndoa/watoto wa mtaani na wanaume wengi kuishia kwa dada poa nk.

Nafikiri washughulike kwanza na tatizo la msingi ambalo ni kwanini wanawake wengi wanakosa Libido miaka ya hivi karibuni? kimsingi majibu yake sio rahisi rahisi kiivyo.....
 
Mnatupa ugumu wale tunaopinga kampeni ya kataa ndoa.

Kwa hali hii kampeni ya kataa ndoa itaendelea kuota mizizi

Wanaotunga hizo sheria wanaajenda za kitapeli.

Hawajui kuwa wanaume wengi wanaoa Kwa sababu ya Sex,
Waweke hiyo Sheria Ila watoe mwanya kuwa mwanaume anayoruhusa ya kuoa Wanawake wengi.

Mwanaume akiwa na afya njema na Hana stress, atahitaji sex kila Siku au kila BADA ya siku Mbili.
Sasa Kwa namna hiyo hawaoni kuwa wanataka kuwatapeli hao Vijana WA watu
 
Mwanamke msimbe halafu ana elements za umalaya unamuweka kwenye system ya serikali na uongozi then utegemee mwaendeleo?! Hiyo ni abadan, katu haiwezekani.

Ifike tu muda wanaume tujue tunapoelekea watoto wetu na wajukuu watatulaumu sana kwa kutowakabili hawa mawakala wa shetani ambao wamekuja kufanya na kuendeleza maswala ya kuzimu hapa duniani.
 
Hawa wanaharakati wanawake sasa wanaelekea kuisambaratisha kabisa taasisi ya ndoa. Kwa kuwa hawana ndoa wanaleta vitisho kwa wanawake wenzao wanaotaka ndoa na kuleta kitisho kwa wanaume wapenda ndoa. Watawapa ushindi mnono wale wanaume wakataa ndoa na kampeni yao inayopamba moto ya kataa ndoa.

Ndoani kuna mambo mengi, unakuta mwanamke anakataa kuingiliwa kumbe anataka na anafurahia kuvuliwa chupi. Anabana sana mwisho anaachia na shoo inapigwa kwa raha zote. Huo ubakaji labda iwe kwa wasio wanandoa
 
Feminism is a virus
1677147311042.jpg
 
Tuwapunguzie madhira wanaume,mwisho watakuja kufa tubaki wajane tupu.Labda sababu mimi sijasoma ndiomaana sipendi ukisasa kwenye ndoayangu.Ila naona kabisa hajawai juta kunioa, wanaume wanapenda kupendwa na kuskilizwa tuwahurumie wanapitia changamoto nyingisana katika harakati zakutupambania.
Binafsi sihitaji shoga Wala taasisi ktk ndoayangu.Nitampa kadiri anavyotaka muhimu haruki ukuta
UKIOLEWA USILALE NA CHUPI
 
Tuwapunguzie madhira wanaume,mwisho watakuja kufa tubaki wajane tupu.Labda sababu mimi sijasoma ndiomaana sipendi ukisasa kwenye ndoayangu.Ila naona kabisa hajawai juta kunioa,wanaume wanapenda kupendwa na kuskilizwa tuwahurumie wanapitia changamoto nyingisana katika harakati zakutupambania.
Binafsi sihitaji shoga Wala taasisi ktk ndoayangu.Nitampa kadiri anavyotaka muhimu haruki ukuta
UKIOLEWA USILALE NA CHUPI
Binti Mwambeso umenena. Hakika wanawake walioolewa muwalinde wanaume wenu. Haya mambo ya TAWLA tuachane nao.
 
Tuwapunguzie madhira wanaume,mwisho watakuja kufa tubaki wajane tupu.Labda sababu mimi sijasoma ndiomaana sipendi ukisasa kwenye ndoayangu.Ila naona kabisa hajawai juta kunioa, wanaume wanapenda kupendwa na kuskilizwa tuwahurumie wanapitia changamoto nyingisana katika harakati zakutupambania.
Binafsi sihitaji shoga Wala taasisi ktk ndoayangu.Nitampa kadiri anavyotaka muhimu haruki ukuta
UKIOLEWA USILALE NA CHUPI
NDIOOOOO...Kuolewa umetaka mwenyewe, kwanini ulale na chupi? hapo umenena
 
Back
Top Bottom