Tatua tatizo la uume mdogo

Tatua tatizo la uume mdogo

Watanganyika wenzangu hivi nani katuloga? Niliwahi kusema hicho ni kiungo cha chakula watu bado mwataka kuona mabadiliko ya maumbile, hapo ni sawa na kusubiri meli ubungo.
 
Ostaz kaelekea Oman kuongeza mzigo wa hartiti baada ya mtaani kuadimika
 
nilikuwa nasubiri mrejesho kwa watu kama kumi hivi.... nilitaka niwe na ishu ya punda mmamaeee
 
ASSALAMU ALAIKUM
Nakupongeza kwa utafiti na ubunifu wa tiba yako.
Ndugu Ustadh kuwa na uume mdogo au mkubwa siyo kasoro ni maumbile mtu aliyoumbiwa na MUNGU.
Basi kwa nini kuna watu warefu na wafupi?Wanene na wembamba?
Je unaweza kuongeza kimo cha mtu mfupi? Au kupunguza kimo cha mtu mrefu?
Kwa maumbile hayo tuliyoumbiwa isipokuwa tu kwa wenye matatizo ya afya, yatupasa tuzingatie yafuatayo;
Kwanza, Jikubali na ridhika na jinsi ulivyo.
Pili, jiamini kwamba wewe ni mkamilifu na unaweza.
Tatu, Jitahidi kuwa mbunifu jinsi ulivyo.
Kwa kuzingatia hayo bila kujali maumbile yetu mmoja anaweza kufanya chochote kilicho chema kwa UFANISI ULIO TUKUKA.
Ndio mtu mfupi anaweza kuongeza urefu ikiwa atapata tiba maalum ambayo itachochea ukuaji wa mwili wake kwani Kuna ufupi ambao unasababishwa na masuala ya ki-genetics lakini tiba ni mpaka ufanyiwe vipimo vya mwili kujua tatizo ni nini lililodumaza ukuaji wako,hata wenye vipara sasa wanaoteshwa nywele kwa tiba maalum hilo nalo hujalisikia?
 
Psychology ndo inayotutia umasikini mara nyingi. ....Mr. Hartiti atajivunia wateja hapa maana wengi tumeathirika kisaikologia.....sijui wenzangu huwa wanajifananinsha na mandingo? Ila binafsi Hartiti yangu nakomaa nayo hivo hivo nikiona hali tete ntaingiza hata miguu
 
teh teh teh teh teh hivi umemuelewa mtoa mada kweli? mazoezi ndio yanafanya uume kuwa mkubwa?
Hawa ndio wanajidanganya mazoezi ndio dawa kumbe ni kujichosha tu alafu nyumbani akifika analala chumba tofauti na mama watoto kwa uchovu au hata akijilazmisha anaonekana ni kama anamsumbua mama watoto mwisho wa siku mke anatoka na hawa vijana waliotumia hartiti vizuri au ndumba za mkongomani kidume anaanza kulaumu unadhani nani atakua mjinga hapo? Wanawake wa sasa 90%wanajali sana mapenzi alafu ndio inafuatia pesa. Wewe muache aendelee na ubishi hadi aje kuharibikiwa
 
AL- USTADH umekula kona nini?mbona kimya?
kama hiyo dawa haijasaidia waambie watafute mafuta ya tembo hiyo kitu ni habari nyingne
 
AL- USTADH umekula kona nini?mbona kimya?
kama hiyo dawa haijasaidia waambie watafute mafuta ya tembo hiyo kitu ni habari nyingne
Mafuta ya tembo hairefushi bali unapata upana
Kidushe kifupi kipana kitakuwa kama bolt

Back
Top Bottom