Tatua tatizo la uume mdogo

Tatua tatizo la uume mdogo

Dunia hii imejaa mihangaiko na tabu usikute ndugu yetu all ustadh hatutoka ulimwenguni sie hatuna habari tunabaki kubashiri tu oooh! Ostadh kafata mzigo Oman ,toka Oct.31 hatupo nae humu Jf mod. Msaada wa detail za ustadh tupajue japo kwao kama katutoka tukatoe japo rambirambi.
 
Me nme2mia dawa hii kwa cku km 9 halaf nkapata dharura cku2mia tena ! Ila mabadlko nloona mizuka ili zidi na mshumaa ukiwa unawaka hatarii ! Ss alo2mia cku hzo atoe ushuhuda wake
 
Me nme2mia dawa hii kwa cku km 9 halaf nkapata dharura cku2mia tena ! Ila mabadlko nloona mizuka ili zidi na mshumaa ukiwa unawaka hatarii ! Ss alo2mia cku hzo atoe ushuhuda wake
Kudindisha tu kwa sana yani ni kila timu kitu kinasimama
 
Ustaadhi umekwishatoa elimu,kuna wenye matatizo utakuwa umesaidi na kuna ngangari wasioona umuhimu wake na kuna wa vibamia wa ukweli lakini wanazuga wako gado,ila walikuwa wanaangaikia ilitatizo na wamekushukuru kimoyomoyo,pongezi zAko ustaadhi
 
Salaam/Shalom.

Natumai mu-wazima nyote. Bila ya kupoteza muda ningependa kutoa hii tiba hapa kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la sehemu zao za siri kuwa ndogo/fupi (hasa kwa wanaume).

Tatizo hili limekuwa likiwakosesha wanaume wenye tatizo hili amani na hata raha ya kuwa na mahusiano na wenza wao. Ni tatizo linalosababisha mahusiano mengi kutodumu na kuathiri sana wengi wao psychologically.

Hupelekea mtu kuamua kuwa mwenyewe pasina mahusiano akihofia kutodumu kwa mahusiano hayo au hata kudhalilishwa mbele za watu hasa anapokuwa na mpenzi asiye mstaarabu au pale mapenzi yanapofika kikomo siri za ndani zote hutolewa hadharani. Mtu huona ni bora kuwa peke au kutafuta ONE NIGHT STAND (machangudoa) au kufanya masturbation ili kumaliza hamu yake wakati bila kujua kwa njia moja au nyingine ndio anazidi kujiumiza na kufanya tatizo kuwa sugu kabisa na kusababisha matatizo mengine kama kulegea kwa uume n.k.

Nini cha kufanya ?.
Sitaki kusema kuwa watu wanione PM ili niwape dawa HAPANA ; Dawa ntaitoa hapahapa na maelekezo yake yote jinsi gani ya kufanya, na kwa mwenye swali lolote ataniuliza kama hajaelewa sehemu au kama atahitaji kusaidiwa kutengeneza hiyo dawa ni sawa pia na ni bure kabisa. Narudia tena ni BURE kabisa coz niko hapa kusaidia.

Sasa, kama utakuwa na ndugu, rafiki, jamaa yako wa karibu au hata kama ni mpenzi wako (kwa wanawake) waweza kumsaidia ili aweze kuondokana na tatizo hilo In Shaa Allah.

Mahitaji :-
1 ). Mafuta ya Zaituni (Olive Oil).
2 ). Hartiti kichupa kidogo.
3 ). Maji ya moto kiasi si sana.

Utayarishaji.
- Chukua mafuta ya Zaituni (Olive Oil) kiasi cha 100ml na Hartiti kiasi cha kichupa kimoja kidogo.

- Changanya vyote kwa pamoja vizuri mpaka vichanganyike sawasawa kabisa, ukishamaliza hapo hatua ifuatayo ni...

Matumizi.
- Jinsi ya kutumia yatakiwa kuchukua mchanganyiko wako na kuanza kuichua dhakari/uume wako kiasi cha kuhakikisha imepata msisimko. Fanya hivyo kiasi cha mara tatu hivi.

- Baada ya hapo iache dhakari/uume wako kwa kiasi cha dakika 5 hadi 10.

- Kisha ioshe kwa maji moto uliyokwisha yaandaa kabla. Baada ya kuiosha tu chukua unga kidogo wa Hartiti kisha ingiza kwenye tundu ya dhakari yako vizuri. Ingiza unga kidogo tu kutokana na tundu yenyewe kuwa ni ndogo hivyo ingiza unga kiasi tu wa Hartiti.

Baada ya dakika 3 hadi 5 kuna mabadiliko utayahisi kuwa dawa yaanza kufanya kazi. Fanya zoezi hili kwa muda wa siku 15 hadi 21.

Kwa yeyote mwenye swali aweza kuniuliza aidha hapa ama pm ni ruksa tu vile upendavyo, na pia nawahakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega na wale ambao ni wagonjwa wa tatizo hili kwa maswali, maoni au ushauri usisite kuniuliza chochote utakachojiskia. Karibuni Sana.

AHSANTE.
Mkuu na vipi dawa ys kisukari
 
Ustaadhi umekwishatoa elimu,kuna wenye matatizo utakuwa umesaidi na kuna ngangari wasioona umuhimu wake na kuna wa vibamia wa ukweli lakini wanazuga wako gado,ila walikuwa wanaangaikia ilitatizo na wamekushukuru kimoyomoyo,pongezi zAko ustaadhi
Nadhani umeamua kutoa ushuhuda na mrejejesho kwa namna ya tofauti.....

Kifupi umeeleweka mkuu!
 
Mpime kwanza afya za mioyo yenu wapendwa kabla hamjafakamia haya madawa hasa ambao wako 35+, wanene na/au hawafanyi mazoezi. Kumbukeni kuwa process nzima ya kusimamisha uume na kuendelea kufanya tendo la ndoa inategemea damu NYINGI inayosukumwa na moyo na kuutumikisha moyo kwa dakika 45 ukiwa unatafuta bao wakati siyo kawaida yako na huna mazoezi moyo unaweza kushindwa kuhimili na ukazimika hasa kama una katatizo ambako hukajui. Halafu kesho mtu unajikuta uko front page kwenye magazeti ya Shigongo "Njemba Afia Guest. Changudoa Aliyekuwa Naye Asepa".
Shua mkuu. Hivi vitu vina madhara makubwa sana kwenye cardiovascular system. Unaweza kukata roho juu ya kifua cha kahaba. Sijui utaenda kumweleza nn muumba wako
 
Shua mkuu. Hivi vitu vina madhara makubwa sana kwenye cardiovascular system. Unaweza kukata roho juu ya kifua cha kahaba. Sijui utaenda kumweleza nn muumba wako
Mbona mkuu una hofu sana? Kosa nguvu zote mkuu lkn sio za kiume
 
Athari kubwa ya kuongeza ukubwa wa pampu ni kwamba dude linakuwa kubwa ila tepetepe kishenzi kwasababu moyo unakuwa haujaji-condition kupeleka damu ya kutosha kwenye mpini in case the guy gets sexually aroused. Matokeo yake unaishia kuwa na pampu kuuuubwa ambalo haliwezi kugonga ngozi ipasavyo. Mwisho wake unaishia kuwa na maumbile makubwa kwa ajili ya show-off tu ukienda beach au ukiwa na watoto wa kike. (Na hapo ndipo topic inapohama mtu anaanza kutumia maviagra na mizizi pori...... And then and then and then......eventually mashine inaanza kuwa over reliant kwenye dawa za kuongeza nguvu.... And then unaishia kuwa hanithi..... hatimae unaweza ukajikuta unaishia kwenye upunga!) Vijana tuweni makini aiseee
 
Natamani kuleta Matokeo ya Huu uzi kwa picha ila Mod wata ni block!
 
kupumuliwa tena?
 
Back
Top Bottom