souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,102
uume mdogo siyo tatizo.. tatizo ni jinsi gani unakitumia hiko kibamia chako kumridhisha mpenzio
mkuu nimeanza matibabu leo na nina mwenzi wangu je naruhusiwa kushiriki "mechi ya kirafiki"1). Kwa madhara hapana kiongozi wala ustie shaka mkuu.
2). Yategemea na size uliyonayo na jinsi utakavyoendelea na matibabu (kuichua dhakari) ndipo matokeo husika yataweza bainika kwa bayana zaidi.
3). Suala la kusimamisha ni suala la misuli na ndio mana imeshauriwa uchue mpaka utakapopata msisimko i.e Dhakari itakaposhtuka it means utakuwa umeshtua misuli ila chunga usitoke manii. Kwa kufanya hivyo utasaidia kuipa dhakari yako nguvu na wala hakutakuwa na suala la kukosekana kwa uimara ndugu.
4). Hapa unahitaji kuoneshwa dhakari za watu ili ushuhudie au unatakaje kiongozi...?.
Karibu Sana mkuu.
Siku 21 bado tu tupate mrejesho, kwani si hata siku 10 si inatosha kuona mabadiriko, au mpaka itimie siku 21?
Utupe mrejesho mkuu sio nawe upoteemkuu nimeanza matibabu leo na nina mwenzi wangu je naruhusiwa kushiriki "mechi ya kirafiki"
Utupe mrejesho mkuu sio nawe upotee
Wee Ingiza Hartiti tu,yaani ingizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Hartiti...
umetisha mkuuJamaa atakua anaduka lake la hartiti saaafi kabisa anasubiri vichwa tu saiziBiashara hapa ni Hartiti..
Lengo si kuvuna wateja kiongozi lengo ni kusaidia mkuu.Psychology ndo inayotutia umasikini mara nyingi. ....Mr. Hartiti atajivunia wateja hapa maana wengi tumeathirika kisaikologia.....sijui wenzangu huwa wanajifananinsha na mandingo? Ila binafsi Hartiti yangu nakomaa nayo hivo hivo nikiona hali tete ntaingiza hata miguu