Tatua tatizo la uume mdogo

Tatua tatizo la uume mdogo

zoezi hili kwa siku mara ngapi mda gani je baada ya mda gani unaruusiwa kukojoa baada ya zoezi
Kwa siku ukifanya mara moja sio mbaya japo wengine hufanya asubuhi na jioni.

Muda wa kufanya ni pale mhusika atakapopata nafasi huru.

Baada ya zoezi waruhusiwa kukojoa pale mkojo utakapokubana na sio kuulazimisha utoke japo yashauriwa kujisaidia kabla ya tiba kuanza.

Karibu Sana.
 
teh teh teh teh teh hivi umemuelewa mtoa mada kweli? mazoezi ndio yanafanya uume kuwa mkubwa?
Mkuu, nashkuru kwa kunisaidia kuuliza kiongozi kwa sababu nimeiona hiyo comment yake nikashindwa hata nimuelezeje kwa kweli.

Shukran Sana.
 
Mbona mmekazania sana mirejesho wakuu it means kama mtumiaji anatakiwa kuendelea na tiba kutokana na tatizo alilonalo itakufanya wee usianze dozi kiongozi wakati yaweza kuwa matatizo yanatofautiana mkuu.
Mimi Nina siku kama kumi na moja natumia huu mchanganyo Mzee kama kuna mtu atahitaji mrejesho ninautoa hapa maana hatabpicha ninayo na ntazitoa
 
au nakosea nini jamani maana nimechanganya hiyo hartiti na olive oil vizuri kabisa lkn bado kma sioni changes japo ni siku ya pili..nasema hvi kwa sababu mimi nachua kwa kuvuta dhakari kwa kwenda chini na kila ninapomaliza naweka unga kidogo wa hartiti kwenye tundu la dhakari sasa kule kufukuta ulikosema mimi sijausikilizia
 
Naam, huo ndio uchuaji unavyotakiwa kuwa ni waivuta kwa chini hivi.

Na hayo mafuta umechanganyaje kiongozi...?
 
Back
Top Bottom