nyandajohn
Member
- Oct 17, 2015
- 12
- 8
hila mm mpaka leo siku ya kumi na tano bado sijapata matokeo hila bado nakomaa

hila mm mpaka leo siku ya kumi na tano bado sijapata matokeo hila bado nakomaa

dah!we jamaa dawa yako imekaA kiSCORPIONdawa ni upupu tu..unapaka mara tatu kwa siku...Matokeo utayapata na naamini utanipenda
Hamna mabadlo yoyote uliyoona ?
Labda wameshapata mguu wa tatuWadau mada hii ilianzavsept 14 hadibleo ni zaidi ya mwezi
Mbona hatupati mrejesho
Kunanini wadau?
Au zimerefuka sana kila mtu siri yake
Tujuzeni tafadhali



Ww c ndio ulisema ulianza kuona unadisa kila muda mbona unaanza kutukata stimu ya kuanza tiba mkuu#tag#hartiti at work#tagSiku ya 20 leo natumia dawa hii lakini sijaona hata dalili ya mabadiliko!
Kumbe dawa ziko aina zaidi ya moja mkuu?Shukran mkuu ila matatizo hutofautiana kiongozi yategemea na mtu imemuathiri vipi hiyo hali.
Na dawa haipo moja kwa hiyo ngoja tupate majibu toka kwa wagonjwa walioanza tiba ili tuone matokeo yamekuwaje baina ya watu waliotumia tuweze kumshkuru MUNGU kwa sababu yeye ndiye anayemfungua mtu kwa kumpa ujuzi na ufaham wa tiba juu ya magonjwa tofauti tofauti mkuu.
Shukran Sana. Karibu.
Mambo ya Aerodynamics hayooDaaakeki mwaka huu lazma muwafikie wa west Africa kwa Mi ukuni


Ww c ndio ulisema ulianza kuona unadisa kila muda mbona unaanza kutukata stimu ya kuanza tiba mkuu#tag#hartiti at work#tag
nimecheka kinoma.... jamaa alisema anadisa kila muda?Mi mwenyewe nashangaa sasa sijui watu wamekuwa na miguu mi3 wanafikiria kuja kuomba msaada wa kurudisha au hawakufanikiwa tuambieni jamani vibamia vinatutesa#tag#tartiti at work#tagMirejesho jamani mbona mmekimbia
Usisahau kuleta mrejesho.Ustadh nimefanikiwa kununua hivi vitu viwili... Je hako kakopo kadogo ndio hartiti yenyewe??? Nmeshindwa kusoma kiarabu View attachment 400869