relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,429
- 5,470
Swali mhm mkuu maana na Mimi nilikuwa najiuliza sasa nikianza dozi ntakuwa kama mjane siku zote hizi auSasa ustadh hivi ukianza kutumia hii dozi inaruhusiwa kufanya mapenzi na mwenzi wako au mpaka zipite siku 21?? 😵