Katika dunia ya leo hakuna mwanamke bikra labda kitoto cha miaka 5 otherwise wako swazland kwa mswati. Tz hakuna ndg tunadanganyana...halafu na wewe kabisa unaambiwa na mwanamke eti mimi bikra unakubali."shit"..vuna ulichopanda na wewe chora ya kwako uielekeze kwenye 0714
Sidhani kama kuna shida yoyote ile...tatoo tu ni urembo kama piko tofaut ni ndogo sana.
Ndo mkeo huyo, huna la kufanya kishakuzidi ujanja huyooo. Kule kukuambia hakupi mpaka uoe ni hiyo tatoo ndo ilikuwa ikifichwa.
mwambie huyu haerewi sijuwikabira gani mm namshanga, kabira letu wanavaa shaga.
Katika dunia ya leo hakuna mwanamke bikra labda kitoto cha miaka 5 otherwise wako swazland kwa mswati. Tz hakuna ndg tunadanganyana...halafu na wewe kabisa unaambiwa na mwanamke eti mimi bikra unakubali."shit"..vuna ulichopanda na wewe chora ya kwako uielekeze kwenye 0714
Yaani hii habari isikie kwa mwenzako usiombe ikutokee...
Mana mwisho wake kama si mvumilivu basi unaweza tafuta bastola.
Heart, Pokea 5 yangu. Tatoo ni urembo nao huwekwa unakotaka weye. Iwe usoni au tumboni ni tatoo. Huwekwa na yeyote, me au ke bora ana huo ujuzi. Sio kwamba kwa vile alichora me ni me ndio aliiweka. Pia hata kama iliwekwa na me si kwamba aliweka baada ya ku mdo. Mbona mtu ukiisha kukosa uaminifu unawawazia wengine vibaya?
Nataka pia nikueleze kuwa, ukimwandaa mwanamke vizuri na kisawasawa kabla ya tendo, waweza kudhani umesalitiwa. Mambo yanakuwa saafii. No kelele bali mguno tuu.
Wanaume wengi, sheria ya ubakaji ikipitishwa mtaishia Segerea. Unatoka huko baa umeishika mkononi, anakufungulia mlango hungoje aufunge tayari umemkata mtama. Hapo hapo sebuleni. Jamani huku ni kuumizana.
kaka mchukue huyo mkeo tu ni wako huyo tena mwaminifu alikungoja mno kila akikuona tu vimaji vina m.to.ka kwa hamu
watanzania msipende kugeneralize mambo wenye bikra wapo sana tu kama wewe hujakutana nao wapo waliokutana nazo.Katika dunia ya leo hakuna mwanamke bikra labda kitoto cha miaka 5 otherwise wako swazland kwa mswati. Tz hakuna ndg tunadanganyana...halafu na wewe kabisa unaambiwa na mwanamke eti mimi bikra unakubali."shit"..vuna ulichopanda na wewe chora ya kwako uielekeze kwenye 0714