mwantui
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,639
- 846
Heart, Pokea 5 yangu. Tatoo ni urembo nao huwekwa unakotaka weye. Iwe usoni au tumboni ni tatoo. Huwekwa na yeyote, me au ke bora ana huo ujuzi. Sio kwamba kwa vile alichora me ni me ndio aliiweka. Pia hata kama iliwekwa na me si kwamba aliweka baada ya ku mdo. Mbona mtu ukiisha kukosa uaminifu unawawazia wengine vibaya?
Nataka pia nikueleze kuwa, ukimwandaa mwanamke vizuri na kisawasawa kabla ya tendo, waweza kudhani umesalitiwa. Mambo yanakuwa saafii. No kelele bali mguno tuu.
Wanaume wengi, sheria ya ubakaji ikipitishwa mtaishia Segerea. Unatoka huko baa umeishika mkononi, anakufungulia mlango hungoje aufunge tayari umemkata mtama. Hapo hapo sebuleni. Jamani huku ni kuumizana.
kaka mchukue huyo mkeo tu ni wako huyo tena mwaminifu alikungoja mno kila akikuona tu vimaji vina m.to.ka kwa hamu
Jamii forum hakuna linaloharibika hapa..