i411
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 906
- 290
hakuna mji mkubwa duniani usio na foleni kuwe na mpango kusiwe, foleni palepale hata kule wanakotumia treni za spidi ya risasi kuna foleni. Ukitaka ua foleni fanya usafiri wa vidaladala bure. Kuna vinchi vya scandinavya wameanzisha haka ka systimu na foleni imepungua. lakini huko serikali ndo zinatoa usafiri sio nchi zetu za kata tunapeana lift hapa na pale na tunalipa ukipanda kihaisi kimejaa na unapumulia vikwapa vya watu kila wakati na bado unatakiwa ulipe.