Tatizo sugu la foleni Nairobi kuwa historia

hakuna mji mkubwa duniani usio na foleni kuwe na mpango kusiwe, foleni palepale hata kule wanakotumia treni za spidi ya risasi kuna foleni. Ukitaka ua foleni fanya usafiri wa vidaladala bure. Kuna vinchi vya scandinavya wameanzisha haka ka systimu na foleni imepungua. lakini huko serikali ndo zinatoa usafiri sio nchi zetu za kata tunapeana lift hapa na pale na tunalipa ukipanda kihaisi kimejaa na unapumulia vikwapa vya watu kila wakati na bado unatakiwa ulipe.
 
Nakubaliana na wewe.
Nchi zingine wanahimiza kutumia baiskeli, na ukienda kama holland, sweden na norway baiskeli kama sisimizi. Ireland penyewe ukinunua baiskeli ya kwendea kazini wanakupa na posho kabisa.

Lakini afrika wanaojiita mabosi wanaweza kwenda kazini kwa baiskeli. Haha ha ha ha ha ha
 
Naunga mkono hii hoja yako lakini kama mabosi wengi wa maofisini wa kuonyesha mfano ni size ile ya xxxl da sizani kama wanaweza kupigia kifua baisikeli kuendea kazini kama ni karibu.
 
Nimependa hako kambuyu ka stendi ya magereza. Nasikia imeshindikana kuuong'oa huu mbuyu. Hahahahaaaa, nimekumbuka lile kaburi la pale iringa, mweeeeeeeeee! waswahili kwa imani za kichawi, ndio zeeeeeeeeeeetuuuu!

Huu ni ule wa Dodoma, maeneo ya Kisasa mara tu baada ya kuvuka Martin Luther School, mkono wa kushoto kama watokea Moro!!
 
Kwanza Serikali ilipaswa kujenga ile barabara ya Mtongwe kukwepa kivuko cha Likoni hapa Mombasa kwani tatizo la msongamano hapa ni mkubwa kuliko jijini Nairobi.
 
wakuu nairobi sio dar.mwingereza alijenga kwa mipango.dar imejengwa bila mipango.unapo compare city hizo mbili unakuwa hujafanya haki yeyote.
Kumbe ilitakiwa sie ndo tutangulie kujenga flyovers maana tatizo la jam ni automatically kubwa Dar kuliko Nairobi. Lakini kama iwapo hata kupanga mji tunahitaji waingereza kwanini tuliomba uhuru?
 
ndugu fly overs tz haziwezi kusaidia chochote.hapa ni kupunguza magari kwakufanya watu watumie public cars na tren za underground sio kama hili litamaluza foleni bali litapubgyza kwa kiasi kikubwa sana.na mwingereza alikuwa haitaki tz alipewa ailee tu.hakuipenda milima mingi sana.
 
mkuu ID ni identity card sasa mimi ID ni achahasira wewe imekuwaje tena umeanza kuuliza ID na kutoka nje ya swali langu,nimedanganya nini?
alafu cha kushangaza unasema nimedanganya alafu wewe unakaa kimya bila kutoa hoja,sasa kama nimedanganya toa pointi zako hapa ili tujuwe nani mkweli.
Unachotudanganya ni kuhusisha mpangilio wa nairobi uliofanywa na waingereza iwe ndo sababu ya kushindwa kulinganishwa na dar. Hiyo ni kutafuta kisingizio cha viongozi wetu kutokana na madudu wanayofanya.
 
ndugu fly overs tz haziwezi kusaidia chochote.hapa ni kupunguza magari kwakufanya watu watumie public cars na tren za underground sio kama hili litamaluza foleni bali litapubgyza kwa kiasi kikubwa sana.na mwingereza alikuwa haitaki tz alipewa ailee tu.hakuipenda milima mingi sana.
Hizo ni solutions lakini sambamba na flyovers. Ukiangalia miji mikubwa wamepunguza foleni kwa kutumia underground tunnels, flyovers, ringroads kujenga highways zenye barabara nyingi zaidi i.e six, eight e.t.c na vile vile kuencourage public cars over private cars. Sasa baada ya post kuonyesha kuwa wenzetu wameamua kuanza na flyovers tulitakiwa tuseme sie tunafanya nini kukabiliana na jam na sio kuignore kazi ya wenzetu. Huu utaratibu wa kufumbia macho ukweli ndo umetufikisha hapa tulipo.
 
hakuna mji mkubwa duniani usio na foleni kuwe na mpango kusiwe, foleni palepale hata kule wanakotumia treni za spidi ya risasi kuna foleni. Ukitaka ua foleni fanya usafiri wa vidaladala bure. Kuna vinchi vya scandinavya wameanzisha haka ka systimu na foleni imepungua. lakini huko serikali ndo zinatoa usafiri sio nchi zetu za kata tunapeana lift hapa na pale na tunalipa ukipanda kihaisi kimejaa na unapumulia vikwapa vya watu kila wakati na bado unatakiwa ulipe.
Dunia gani unayoisema? Ulaya au dunia nzima? Mbona mie nimekaa Shanghai mji una watu about million 110 lakini sijaona jamu kama Dar zaidi ya kusubiri dakika mbili au tatu ktk makutano ili mataa yaruhusu?
 
Mkuu unachokisema ni kweli barabara zitazinduliwa na hii ni ile Thika highway yenye urefu wa km 54.2 (kama sikosei). Na itapunguza msongamano lakini kuisha HAIWEZEKANI kwani barabara hii iko upande wa kaskazini Magharibi kwa jiji.

Sehemu ambako huwa kuna msongamano sana nh uhuru highway inayoendana na Mombasa road. Huku huwa kuna feederroads kibao ambazo zitaendelea kuleta msongamano sana hadi hapo uhuru highway itakapokuwa na flyovers za magari badara ya hizi za pedestrians.

Lakini 2napaswa kuwasifu kwa hatua waloifikia ku2zidi cc 2naoendekeza "siasa uchwara"
 
Hizo flyover hazina maana ukilinganisha na zile by-passes zote ambazo zimejengwa in the recent past. Kwenye ishu ya infrastructure, Kibaki amejaribu
 
Nacho danganya nini? foleni dar ni kupunguza magari sio flyover.au kuweka treni.
Magari Dar siyo mengi kiasi hicho. Tatizo ni miundombinu na kukosekana kwa barabara za kupumua.

Kwa mfano, kwa nini mtu anayetoka Kimara kwenda JNIA apite Ubungo mpaka Buguruni? Kwa nini mtu anayetoka Kawe kwenda Kibaha aje Ubungo?

Miji mingi mikubwa ina barabara zinazoitwa circular au ring roads ambazo zinafanya watu walio sehemu za nje ya mji wasilazimike kuja katikati ya mji ili kufika sehemu nyingine nje ya mji. Dar haina.

Morogoro Road ndiyo barabara kuu pekee inayotoka Dar kwenda mikoani (ukiacha Kilwa Road). Kwa nini zisiwepo zaidi? Moja inaweza kupitia Bagamoyo (hii nasikia inajengwa) na nyingine ikapitia Kisarawe. Flyovers zitakuwa ni nyongeza tu. Haya mambo yanahitaji wataalam, siyo wanasiasa.
 
Where are the planners?izi projections walikuwa wapi kuzifanya?
Inawezekana walifanya ila ktk utekelzaji siasa zikaingia!
 
Kuweni wapole hata Dar mipango thabiti imeanza kufanyika kupunguza tatizo la foleni chini ya CCM chama tawala.
 
nacho danganya nini? foleni dar ni kupunguza magari sio flyover.au kuweka treni.
Pumbavfuuuuuuuu
Wewe una akili au matope kichwani ..nA nuke ndio viongozi wa ccm mnaotuongoza siwezi kushangaa wewe ni mshauri wa JK
 
asante mkuu pumbafu kwako sio mpumbafu kwa mwingine, kaka tabu yenu mumeniharakia ku nijibu bila kunisoma vizuri.mkuu aliyo anzisha hii nyuzi alitaka dar tujenge flyovers,hicho kitu mimi naona hakiwezekani kupunguza foleni,kitu ambacho kinawezekana soma post zangu zingine.
 
Magari Dar siyo mengi kiasi hicho. Tatizo ni miundombinu na kukosekana kwa barabara za kupumua.

Kwa mfano, kwa nini mtu anayetoka Kimara kwenda JNIA apite Ubungo mpaka Buguruni? Kwa nini mtu anayetoka Kawe kwenda Kibaha aje Ubungo?

Miji mingi mikubwa ina barabara zinazoitwa circular au ring roads ambazo zinafanya watu walio sehemu za nje ya mji wasilazimike kuja katikati ya mji ili kufika sehemu nyingine nje ya mji. Dar haina.

Morogoro Road ndiyo barabara kuu pekee inayotoka Dar kwenda mikoani (ukiacha Kilwa Road). Kwa nini zisiwepo zaidi? Moja inaweza kupitia Bagamoyo (hii nasikia inajengwa) na nyingine ikapitia Kisarawe. Flyovers zitakuwa ni nyongeza tu. Haya mambo yanahitaji wataalam, siyo wanasiasa.
dugu option yako nayo nzuri lkn sijuwi kama mumenielewa vizuri,flyovers dar haziwezi kupunguza na sio kama mii nasema dar mbaya imejengwa vingine,dar kubwa na haina mipango sana.nairobi na dar ni miji tofauti.
 
Hizo ni solutions lakini sambamba na flyovers. Ukiangalia miji mikubwa wamepunguza foleni kwa kutumia underground tunnels, flyovers, ringroads kujenga highways zenye barabara nyingi zaidi i.e six, eight e.t.c na vile vile kuencourage public cars over private cars. Sasa baada ya post kuonyesha kuwa wenzetu wameamua kuanza na flyovers tulitakiwa tuseme sie tunafanya nini kukabiliana na jam na sio kuignore kazi ya wenzetu. Huu utaratibu wa kufumbia macho ukweli ndo umetufikisha hapa tulipo.
hapo mimi nakuunga mkono,soluntion ya nairobi huwezi kuichomeka dar,ni miji miwili tofauti.lazima tukae chini na kufanya soluntion ambazo zitatusaidia na sio kukopi paste
 
Pumbavfuuuuuuuu
Wewe una akili au matope kichwani ..nA nuke ndio viongozi wa ccm mnaotuongoza siwezi kushangaa wewe ni mshauri wa JK
mwenye matope kichwani ni wewe unalalamika bila kuto option zako.kaka kumbe bado unaakili za kitoto
 
Back
Top Bottom