Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,905
- 150,212
Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila nikipita nakutana na gombania Goli wakati taa zipo na mda mwingine askari wa barabarani wanakuwepo , ila tatizo kubwa linasababishwwa na magari makubwa yanayotokeq bandarini ambayo huwa ndo chanzo cha kutofata utaratibu wa mataa, hii hali inakera na unaweza kaa foleni ata lisaa kama ni mwoga barabarani