Hakuna hata mmoja aliyemshauri aende msikitini, kwa Ponda au Bakwata. Kulikoni? Au huko hakuna Mungu?!
Umeona eh? Wabongo wanaendekeza udini whether ni wakristu au waislamu. Mpaka wapo wengine wanafanya assumption kuwa mleta mada ni mkristu. Angalia michango kama hii. Udini mtupu! Wanasema waislamu ni wadini, je hawa ni waislamu?
Ndugu pole sana kwa tatizo hili, lkn unasema toka form 2 je kabla yahapo ulikuwa uaenda sw au ilianza muda japo kidogo kidogo?, nakuomba sn nenda kamuone mchungaji wa kanisa la kilokole akuombee, nauambia utapona kabisa inawezekana kunamkono wa adui kwa hili, jipe moyo mkuu inawezekana kwake yeye aaminiye.
Nenda kwa Lusekelo au makanisa ya wokovu hasa kwa nabii FLORA kule mbezi/tegea utapona
Pole sana mkuu, Yote ni mipango ya mungu, fanya utaratibu ujiunge na hutuduma za kitume kama upadre
.....................Mbona umekaa kimya mpaka unakaribia kuzeeka? lakini bado hujachelewa ...... na pia ......Pole sana na tatizo hilo nakupa ushauri nenda kwa wachungaji wa makanisa wanayoamini uponyaji... UKAOMBEWE............imani yako itakuponya....
Nenda kwa Lusekelo au makanisa ya wokovu hasa kwa nabii FLORA kule mbezi/tegea utapona
vile vile unaweza ona mchungaji kwa walokole isije ikawa nguvu za giza ya majini yamekata nyeti zako kwa makusudi c unajua kazi ya shetani
Wengine wanatoa mpaka dhihaka!
Ushawahi ona msikiti wanaombea wagonjwa?ukienda huko utatupiwa majini tu
Kati ya wote so far at least ni hawa wamesema
Nakushauri uende kanisani au kwa masheikh wataalam wa kusoma dua za kuondoa hawa majamaa, usikate tamaa!!
Mie sikushauri kwenda sijui kwenye makanisa ya walokole. Afterall hata sijui dini yako. Kwanza kabisa naskushauri uwaombe Mods wahamishie thread yako kwenye jukwaa la madaktari. Watu kama akina
Riwa, @hippocratessocrates angalao watakupa usharuri wa nini cha kufanya kwa kitaalamu zaidi.
Invisible do the needful.
Pili kama walivyoshauri wachache nenda hosipitali kwa wataalam husika. Najua umeshasema umeenda mara kwa mara, labda ungefafanua umewaona madaktari wa aina gani? Umeshawaona madaktari bingwa wanaojua in and out ya Erectile Dysfunction (ED)?
Kumwona daktari bingwa ataweza kufanya diagnosis based on your medical and sexual history, including validated questionnaires. Inawezekana umeshafanya haya yote lakini physical examination and laboratory testing zilifanywa kulingana na complaints zako? Wanaume wengi tunapokumbwa na matatizo ya aina hii huwa tunaona aibu kuwa open, but you have to be open kama kweli unataka daktari afanye physical examination and laboratory testing tailored to your complaints and risk factors.
As far as I am aware, hili tatizo linatibika kulingana na causes za ED. Treatment is based on phosphodiesterase type 5 inhibitors (PDE5-Is), including sildenafil, tadalafil, and vardenafil. Ulishawahi kupima kama una diabetics? Nasikia treatment kama ya PDE5-Is ni efficient na safe even to difficult-to-treat populations such as patients with diabetes mellitus.
But the bottom-line nakushauri kamwone kwanza daktari bingwa atakusadia. Usikate tamaa hata kama ulishaenda. Keep going. Inawezekana una vasculogenic, neurogenic, hormonal or anatomical conditions or cardiovascular disease or diabetes. Inawezekana una ugonjwa mwingine hatari zaidi bila hata wewe kujua.
Kuna mmoja kasema eti
Pole ndugu....Jaribu maombi God will hear and answer your prayer..
Mie sikushauri hivyo.
Utamwomba Mungu akupe mwongozo (guidance), support, strength, help katika kutatua tatizo yako. But don't just sit there in your heartache waiting on God to fix your peoblem. Don't just sit there ukitegemea miujiza. Chakarika. Lakini katika kuchakarika huko, mwombe mungu akuongoze upate tiba.
Pole sana lakini usikate tama kabisa. Kwa hao wanatoa maoni ya kidharau just ignore then. No one know your pain and suffering unless awe ame-experience hilo tatizo. So ignore them and keeping fighting.