Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

Ulipatwa na tatizo gani? Ajali,ugonjwa au kutumia Dawa Kali kwa muda mrefu?
 
Ndugu pole sana kwa tatizo hili, lkn unasema toka form 2 je kabla yahapo ulikuwa uaenda sw au ilianza muda japo kidogo kidogo?, nakuomba sn nenda kamuone mchungaji wa kanisa la kilokole akuombee, nauambia utapona kabisa inawezekana kunamkono wa adui kwa hili, jipe moyo mkuu inawezekana kwake yeye aaminiye.
Mweee
 
Kwa.dr hujapata soln....basi mkuu pole sana

Ila hao.wanakushaur ukaombewe sijui kanisan wanakupotezea muda tuu


Umesema hujawai kuwa na.girfrnd ,ina maana hujawai kufanya mapenzi na waogopa aibu ....sasa fanya jaribio rahisi nala confidens

Kamata demu yyt asie kujua,hata malaya wa kulipia jarbu kila siku....wale hata ukiwatell live hawana shida wao watatimiza kaz yao kadr ya malipo yako...waeleze nn wataka

Mashine kama ipo na.haifany kaz,hupata kutu

Tafuta dem.akutoe kutu

Ikishindikana km wk basi achana nayo,kwan ngono lazma ??
kuna starehe nyingi.....eg bia,music,jf nk

Kama unaham ya familia watt yatima wapo chukua anza maisha.....hapo walokole watasema.utapata dhawabu kwa mungu

My take
Kinga muhimu
Kuna.kagonjwa hakana dawa
 
Mimi ni kijana wa miaka 33 nimejiriwa mkoani, nina tatizo toka nikiwa form 2 sisimamishi uume wangu, na sijawahi kuwa na Girlfriend japo nakutana nao wengi lakini nahofia nikianza uhusiano watagundua tatizo langu na watanicheka zaidi sasa umefika wakati nami natamani kuwa na familia japo kikwazo ni kuwa mwanamke gani atataka aolewe na mwanaume asiyesimamisha uume? MSAADA TAFDHALI
Mkuu.@blessings, Ninakupa dawa ya bure hii hapa bila ya malipo.Unapo amka asubuhi nenda chooni kakojoe kisha chukuwa kipande 1 cha Kitunguu Saumu kimenye vizuri kisha kichome chome kwa ncha ya kisu hicho kitunguu saumu kiwe kidogo laini kisha vua nguo zako uwe peke yako kisha jiingize kwenye sehemu yako ya siri aka kwenye Tigo yako hakikisha kimeingia kitakuwasha lakini uvumilie kisha vaa nguo zako jinyoshe kwa dakika 30 ili muwasho upate kumalizika. Fanya hivyo kwa siku 3 asubuhi na usiku unapotaka kwenda kulala uume wako utasimama ukitaka usitake. Ukiwa bado hujapona Nitafute mimi nikupe dawa ya kukuwezesha kupona kabisa. Dawa ya kuongeza nguvu za kiume dawa inaitwa kwa jina hili Vilirity Gold pills ukihitaji
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

kitunguu saumu.jpg

KITUNGUU SAUMU.

VILIRITY GOLD PILLS.jpg

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume Vilirity Gold Pills.
 
Duuh mzizimkavu hiyo dawa yako mbona awkward kiaina. Yaani sehemu inapochomekwa (tigoni) tofauti na eneo lenye mushkeli (ubolooo)
 
Kijana, hilo tatizo mbona linatibika, mradi kwanza utoe hofu kabisa na amini kuwa hakuna maradhi yasiyokuwa na tiba.
 
Duuh mzizimkavu hiyo dawa yako mbona awkward kiaina. Yaani sehemu inapochomekwa (tigoni) tofauti na eneo lenye mushkeli (ubolooo)
Dawa hiyo tumia utakuja kunipa mrejesho wake. Unapo weka ndani ya Tigo nguvu yake inakwenda kufufuwa mishipa ya uume wako uwe na nguvu. Ukishindwa kuitumia hiyo dawa yangu nitafute nipate kukupa dawa ingine Ukihitaji dawa ingine unaweza kunitafuta Kwa Mawasiliano Maalim Saad Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Ndugu pole sana kwa tatizo hili, lkn unasema toka form 2 je kabla yahapo ulikuwa uaenda sw au ilianza muda japo kidogo kidogo?, nakuomba sn nenda kamuone mchungaji wa kanisa la kilokole akuombee, nauambia utapona kabisa inawezekana kunamkono wa adui kwa hili, jipe moyo mkuu inawezekana kwake yeye aaminiye.
badala ya kumshauri kijana mwenzio vitu vya maana unataka akapingwe hela na manabii feki
 
Aisee. Pole yako, wadau wengi wamekushauri vizuri. Zingatia
 
Back
Top Bottom