Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,756
Mimi ni kijana wa miaka 33 nimejiriwa mkoani, nina tatizo toka nikiwa form 2 sisimamishi uume wangu, na sijawahi kuwa na Girlfriend japo nakutana nao wengi lakini nahofia nikianza uhusiano watagundua tatizo langu na watanicheka zaidi sasa umefika wakati nami natamani kuwa na familia japo kikwazo ni kuwa mwanamke gani atataka aolewe na mwanaume asiyesimamisha uume? MSAADA TAFDHALI
 
yeah sure mate. make appointment with your Dr. I feel sorry for how you are going through
 
Nimeshazunguka Hospitalini na kwa wazee wa jadi na sijafanikiwa mpaka sasa
 
Ndugu pole sana kwa tatizo hili, lkn unasema toka form 2 je kabla yahapo ulikuwa uaenda sw au ilianza muda japo kidogo kidogo?, nakuomba sn nenda kamuone mchungaji wa kanisa la kilokole akuombee, nauambia utapona kabisa inawezekana kunamkono wa adui kwa hili, jipe moyo mkuu inawezekana kwake yeye aaminiye.
 
Mimi ni kijana wa miaka 33 nimejiriwa mkoani, nina tatizo toka nikiwa form 2 sisimamishi uume wangu, na sijawahi kuwa na Girlfriend japo nakutana nao wengi lakini nahofia nikianza uhusiano watagundua tatizo langu na watanicheka zaidi sasa umefika wakati nami natamani kuwa na familia japo kikwazo ni kuwa mwanamke gani atataka aolewe na mwanaume asiyesimamisha uume? MSAADA TAFDHALI

Nimeshazunguka Hospitalini na kwa wazee wa jadi na sijafanikiwa mpaka sasa

Sasa tukusaidiaje ndugu yangu?
 
Pole sana mkuu. Unaposema tangu FORM 2 haujasimamisha, JE UNAMAANISHA KABLA YA HAPO ULIKUA UNASIMAMISHAGA.?
 
Mimi ni kijana wa miaka 33 nimejiriwa mkoani, nina tatizo toka nikiwa form 2 sisimamishi uume wangu, na sijawahi kuwa na Girlfriend japo nakutana nao wengi lakini nahofia nikianza uhusiano watagundua tatizo langu na watanicheka zaidi sasa umefika wakati nami natamani kuwa na familia japo kikwazo ni kuwa mwanamke gani atataka aolewe na mwanaume asiyesimamisha uume? MSAADA TAFDHALI

Vipi kimaumbile ukoje? Una mwili mkubwa? Ilikuwaje kabla ya hili tatizo? Unatatizo lolote la ki afya kama sukari au pressure? Nakushauri nenda kwa daktari.
 
Pole sana mkuu, Yote ni mipango ya mungu, fanya utaratibu ujiunge na hutuduma za kitume kama upadre
 
Nimeshazunguka Hospitalini na kwa wazee wa jadi na sijafanikiwa mpaka sasa

wasiliana na TUMAIN HOSPITAL-Upanga DSM (0773659153 for appointment) omba appointment ya kumwona Dr. Yongolo, hilo ni tatizo linalohitaji UROLOGIST na huyu ni consultant mzoefu, ikishindikana huko ni-PM kwa ushauri zaidi.
 
Mimi ni kijana wa miaka 33 nimejiriwa mkoani, nina tatizo toka nikiwa form 2 sisimamishi uume wangu, na sijawahi kuwa na Girlfriend japo nakutana nao wengi lakini nahofia nikianza uhusiano watagundua tatizo langu na watanicheka zaidi sasa umefika wakati nami natamani kuwa na familia japo kikwazo ni kuwa mwanamke gani atataka aolewe na mwanaume asiyesimamisha uume? MSAADA TAFDHALI

Pole ndugu yangu kwa tatizo hilo na pia kwa uvumilivu, usishangae ungeshaji-hang up!
Sijui ni muumini wa dini gani lakini hapo kuna mambo mawili hivi.

1. umepata tatizo kwenye kwenye mfumo wa neva na kuuwa production ya hormones husika, jee hisia za ku do unazipata?
2. Umekumbwa na jini mahaba (wa kike) ni kawaida sana, unaweza kujua hili la pili kutegemeana na ndoto zako!!

Nakushauri uende kanisani au kwa masheikh wataalam wa kusoma dua za kuondoa hawa majamaa, usikate tamaa!!
 
.....................Mbona umekaa kimya mpaka unakaribia kuzeeka? lakini bado hujachelewa ...... na pia ......Pole sana na tatizo hilo nakupa ushauri nenda kwa wachungaji wa makanisa wanayoamini uponyaji... UKAOMBEWE............imani yako itakuponya....
 
Before form two mambo yalikuwa shwari? Nini kilitokea hadi hali hiyo ikatokea? Jaribu kukumbuka tukio gani liliambatana, na ukiweza kumbuka; tafuta maombezi.

Ingia SCOAN - The Synagogue, Church Of All Nations send prayer request, you can also call their prayer lines.

Pole sana mkaka!
 
.....................Mbona umekaa kimya mpaka unakaribia kuzeeka? lakini bado hujachelewa ...... na pia ......Pole sana na tatizo hilo nakupa ushauri nenda kwa wachungaji wa makanisa wanayoamini uponyaji... UKAOMBEWE............imani yako itakuponya....

Mkuu hivi 33 ni mzee pia kumbuka keshakwambia amehangaika sana bila mafanikio ndiyo maana akaja hapa. Usipende kulaumu kwny matatizo kwakuwa hayana mwenyewe.
 
Back
Top Bottom