Hawa wanawaake hawa

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,563
1,886
Wakuu mmebarikiwà sana na Mwenyezi Mungu wote.

Aisee wakati nipo advance nilipata binti mmoja WA kinyiramba na tulipotezana baada ya Mimi kuhitimu advance nikaenda mkoa mwingine.

Ilipita miaka kadhaa Nikawa naskia alihamia singida huko kwao. Mara nikaskia Alishaolewa huko Arusha bnafsi nikaona sawa Tu maana mapenz yalikuwa yameshaisha.

Siku moja nilikuwa mkoa ambao tulipotezana kuna Dada walisoma Naye nikamuulzia akanambia mmmh mwenzio aliolewa na kaachika nikupe namba yake. Nikamjbu nipe nimsalimie maana kitambo Sana.

Nikachukua namba nikamcheck nilipojitambulisha alifurahi Sana nikamulza uko wapi akanijbu yupo mkoa fulan eeeh na ndo mkoa huohuo nilikuwa nafanya kazi nikamwambia nakuja huko ndani ya SKU tatu hivi.
Mi nikampotezea akinicheck bs analalamika mbona kimya Sana nilikuwa namjbu takuja Tu.

Kweli nilikwenda na tulionana story Sana mpk usku nikamwambia tuchukue lodge akasema sawa Ila halali nikamjbu poa story sn nikamulza we si umeolewa akakataa hajaolewa watu ni waongo Tu.

Basi bwana kimsingi alilala nilikula mbususu SKU hiyo hatari yaani niliunga goal kama tatu hivi za nguvu mtoto alikojoa mpk vikaishako mi nnaye Tu kumalza Yuko Hoi na michubuko juu si mnajua watoto WA singida walivyo watamu.

Mahusiano yalianza upya tena yakawa Moto zaidi nikaja kugundua anawasiliana sana na mtu kidume hasa usku lazma jamaa apge simu ilibidi nimuulze huyo Nani akajibu achana Naye mmmh nikanyamaza SKU moja nilimbana Sana akanambia ni jamaa yake Ila Yuko mkoa mwngn mkoa jirani Tu na tulipokuwa Sisi na huwa anamsaidia Sana fedha nikamwambia haina shida bs nakushauri uachane Naye sasa maana mi si nipo Kila kitu kitakuwa ok.

Akajibu haina shida kwani huyo mtu mwnyw ni dini Tofauti na yeye na walishakubaliana akipata mtu WA kumuoa bs waachane kwahiyo atamwambia kashapata mtu.

Maisha yakaendelea Nikawa nmemsogeza kwangu rasmi ili nifanye mchakato WA kuoa kbs. Eeeh kumbe mwenzangu bado akawa anaendelea wasiliana na Yule jamaa yake. Ilikuwa inaleta ugomvi Sana.

SKU moja nilimwambia tasafri kikazi SKU Fulani tarudi baada ya wiki moja sasa usku huo nikimchukia simu yake nikaitegesha kwamba nikiwa kazn Kila atakayeongea Naye bs nikute na nisikilze maana ye kidogo hakuwa mtundu WA simu asingeweza gundua.

Basi nimerudi jioni nikachukua ili nione kama mtego wangu umenasa au ulikosa. Mmmh aisee nikimskia wanaongea yaani mpenz wangu anampanga jamaa kwamba nimesema taondoka siku Fulani kwahiyo nikiondoka Naye ataenda Kwa huyo jamaa. Limjamaa likawa linamsifia njoo bhana si unajua tena baridi la huku na kumbatio la usku.

Nilikasirika Sana SKU hiyo maana Yule mpenz wangu alikuwa anapata Kila kitu narudia tena Kila kitu na nilimkuta amejuhifadhi Kwa rafiki yake Tu.

Kweli nilisamehe Kwa kuzngatia ilipta miaka skuwa Naye kwahiyo taratibu ataachana na watu wake. Eeeh mauzauza yaliendelea aisee kumbe hakuwa na mtu mmoja Tu alikuwa pia anatembea na ndugu WA rafiki yake.

Aisee ilibidi niingie mzgoni kumchunguza Yule binti kifupi nilifanikiwa Kwa asilimia Mia maana nilikuwa natumia ujanja ujanja kwamba nmedukuwa mawasiliano yake yote kwahiyo nilikuwa nikimshtukiza Tu kwamba Leo umeongea na jamaa mmmoja hivi Kila kitu nmeskia Bora useme ukweli Tu maana takutimua kweli anafunguka.
Niliingia mzgoni mpka nikajua kumbe Yule jamaa waliyekuwa wanawasiliana alikuwa ni mume WA rafiki yake. Rafiki yake alikuwa ameolewa mkoa mwngn sasa huyo rafiki yake SKU moja alimwambia aende kumtembelea alipoenda sasa huyo mpenz wangu ndo akakutana na mume WA rafiki yake jamaa akabeba namba ya shemeji yake akaanza kumtafuna.

Pili nilipata taarifa rasmi za kweli alikuwa amechumbiwa na aliachika nilipata mpk namba za jamaa aliyekuwa anaishi naye. Na akanipa picha kamili kwamba eeeh huyo mtu ni Malaya kwani alikuwa amemchumbia alipopata kaz mkoa mwngn akaenda kuandaa mazngira ili aje amrudie eeeh huku nyuma akapata taarifa kuna jirani Yao anakula mzgo usku kucha.

Alifanya fumanizi usku ghafla alitokea anasema alifka Saa sita usku Ile anagonga mlango alishangaa mchumba wake hata hakuulza Nani Ila alifungua mlango Tu ghafla maana yake jamaa akapata pcha kuna mtu alikuwa anakuja usku walikuwa na miadi na mchumba wake.

Jamaa alismulia zaidi alipoingia ndani Tu mchumba wake aliogopa Sana na akawa na wasiwasi Sana jamaa moja Kwa moja akaenda akashika simu ya mchumba wake aisee anasema alikuta SMS nzto za mchumba ake na huyo jirani Yao aliyekuwa anakula mzgo.

Moja ya SMS ikawa unasema. Fulani mi nimeshakupenda nimekupa mwili wangu umeuchezea Sana Kila SKU usku kucha na wkend unashinda humu ndani kwahiyo mume wangu akiniacha usje ukaniacha tuishi wote na Nina wasiwasi Nina mimba.

Jamaa anasema hatosahau akakuta tena SMS za jamaa mwngn ambaye ni ndugu WA rafiki yake Kwan kuna kipnd jamaa alimpa mtaji mchumba wake akawa anasafiri kwenda mkoa Fulani kuchukua mzgo analeta kuuza walipokuwa kumbe alipokuwa anafkia kwao na rafiki yake mchumba wake kulikuwa na kijana akawa anajilia mzgo atakavyo.

Basi jamaa aliamua kumrudisha kwao huko singidani na alikwenda kbs akavunja uchumba biashara ikawa imeishia hapo. Kwahiyo nilipomkuta mkoa niliokuwepo alitokea kwao huko singidani baada ya kuachika kiuchumba ingawa alishakaa kinyumba na mchumba wake miaka miwili.

Mi nilimpenda sn bidada lakini umalaya sasa hatari aisee haambiliki sjui inaonekana alikuwa akitembea na mtu bs ni alama jamaa akitaka Kula atamla Tu.

Nilimkuta ana ugonjwa mbususu ilikuwa ina harufu fulan ya ajabu Sana inatoa maji mzto sn meupe nikapeleka hospital akatibiwa akawa poa lakini kumbe nilikuwa namtibu ili agawe vzuri.

Sa wakuu baadhi ya wanawake huwa wanalaumu wanaume Malaya je huyu vipi na yupo mpk Leo sjui hata anajishughurisha na Nini huko mkoa niliomuacha.

Ila alikuwa anajua kutiana hatari aisee ni fundi Sana sana.
 
Yaani dunia ya sasa sio ya kuangaishana na binadamu, ni kuangalia wakati wa mbele tuu. Pole, mimi huwa najiuliza hivi ni wapi imeandikwa kwamba ni lazima ukizaliwa dunia hii uoe au kuolewa.
 
Ufundi wa makahaba ndo unaowafanya waolewe na matajiri ....maana % kubwa wenyenazo hupenda nunua mbususu,,kuoa hawataki,mpaka wakolezwe ndo huweka kitu ndan
Ni kweli kbs mpk Leo huwa nakumbuka fundi wake aisee. Na ndiye alinifanya nikaoe huko singidan Tu maana khaaa Ila huyu mke wangu Naye wamo oooh ni shida ananyanduana vilivyo
 
We ushaambiwa wanawakenwa kanda hio hawafai! Sindio akina Sepenga hao. Mwanamke wa Manyara,Kondoa ama Singida we piga sepa achana na migando
 
Mwanamme hageuki nyuma ukigeuka nyuma unakuwa jiwe ndio wewe ,unachunguza sana kila mtu ana aibu zake ,mwenzako kaeka mitego kila pahali atakaenasa ndio wake ,umekaa kama FBI na unaonekana bado unampenda sana hapa unajizimua tu wewe endelea kuchunguza tu hata huyo ulonae ukimchunguza utapata kitu.
 
Nilikuwa nafedheheka sana na kupiga kagoli kangu kamoja na kutosheka,Kumbe hata kuunganisha goli tatu na kuitwanga papuchi mpaka inachubuka hakujakusaidia kitu kabisa
Kama wale jamaa zangu humu eti ukizungumzia maswahibu ya wanawake utasikia tafuta pesa au utasikia unaambiwa huna hela. Lakini nao hzo hela pamoja na kuztafuta hazjawahi wasaidia kitu Kuwadhibiti wanawake zao
 
Mwanamme hageuki nyuma ukigeuka nyuma unakuwa jiwe ndio wewe ,unachunguza sana kila mtu ana aibu zake ,mwenzako kaeka mitego kila pahali atakaenasa ndio wake ,umekaa kama FBI na unaonekana bado unampenda sana hapa unajizimua tu wewe endelea kuchunguza tu hata huyo ulonae ukimchunguza utapata kitu.
 
We ushaambiwa wanawakenwa kanda hio hawafai! Sindio akina Sepenga hao. Mwanamke wa Manyara,Kondoa ama Singida we piga sepa achana na migando
Si kweli sisemi haya kumtetea mke wangu hapana kbs Malaya wapo Kila kabila mtu mwngn anaweza kuja na kisa cha mdada WA kabila lingne kbs tena kabila lako. Nina rafiki yangu Naye ameoa singida tena mnyaturu tulisoma Naye chuo huyo mdada jamaa alimkuta bikira kabisa hajaguswa na mdada alikuwa anaishi singida kbs fikiria mpk anavunja ungo mpk ana graduate hajawahi guswa acheni kukalili maisha
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom