Mwigulu Nchemba, Magesa Mulongo, Andrew Chenge, Job Ndugai! Hizi zote ni products za UDSM
Andrew Chenge kasoma mpaka Harvard. Kwa hiyo kama suala ni kulaumu vyuo laumuni na Harvard.
Huku mkiacha kuangalia masuala muhimu ya utamaduni yanayoathiri malezi tangu mtoto analia ng'aa ya kwanza.
vipi hao wengine?
Mleta mada hebu ataje mtu mmoja wa maana kutoka Mzumbe au DIT. Huyu jamaa alikosa admission Udsm sababu marks hazikutosha adi leo ana chuki. Kumbe Mzumbe nacho chuo kikuu! Sikujua.
Unamaanisha makerere mkuu na Nairobi university?
Source;;Ranking Web of World universities: Top Africa
nakubaliana na mtoa mada UDSM ni uozo mtupu wanafunzi wana crams tu na siyo creative
wazungu wanasema "you are what you read"......yaani chuo ulichosoma kina affect saaaaaannnnaaaaa utendaji wako.....muone nanihii anavyofanya mambo yake.
nan kaxema ww,,umekariri,unadhan wote wanaoxoma vyuo vngne walikosa udsm ndo wakaenda,,,unatumia makalio kufikiri na wakati wenzako wanakalia.Kama ni chuo cha vilaza mbona huwa kinachukua cream yote, hafu mtu akikosa mlimani ndo anafikiria kwenda vyuo vingine, kwa nini?