Manyi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 3,253
- 604
Kama ni chuo cha vilaza mbona huwa kinachukua cream yote, hafu mtu akikosa mlimani ndo anafikiria kwenda vyuo vingine, kwa nini?
Dah, hii topic in aushabiki sana, nilikuwa nje ya mitandao kwa kazi nyingi so sikuweza kuiona hii thread!. Naona bado ushabiki wa vyuo unaendelea. Mkuu hayo ya kukosa UDSM na kwenda kwingine ni ya kizamani, hope unajua nini maana ya TCU na kazi zake, kuna watu wana Div I na wanapelekwa UDOM, au UDSM au Mzumbe hata IFM.
Pili, kuna wahitimu baadhi wa Mzumbe, UDSM, IFM, IAA, MUCOBS na kwingineko, ni majembe mbaya, na wengine ni vilaza tu. Tusipende k-generalise hii issue.