Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

Mwigulu Nchemba, Magesa Mulongo, Andrew Chenge, Job Ndugai! Hizi zote ni products za UDSM
 
Mwigulu Nchemba, Magesa Mulongo, Andrew Chenge, Job Ndugai! Hizi zote ni products za UDSM

Andrew Chenge kasoma mpaka Harvard. Kwa hiyo kama suala ni kulaumu vyuo laumuni na Harvard.

Huku mkiacha kuangalia masuala muhimu ya utamaduni yanayoathiri malezi tangu mtoto analia ng'aa ya kwanza.
 
wasomi wengi wa Tanzania wanajivunia vyeti vyenye 'A' SIO ' A ' ya kuihudumia jamii kutoka sehemu a hadi b.maadui 3 wa nyerere sasa ndio wanatutafuna kwa kasi ,hivyo wasomi wa Tanzania wamekubali kumezwa na kundi la waona leo sio kesho kutwa.
 
Andrew Chenge kasoma mpaka Harvard. Kwa hiyo kama suala ni kulaumu vyuo laumuni na Harvard.

Huku mkiacha kuangalia masuala muhimu ya utamaduni yanayoathiri malezi tangu mtoto analia ng'aa ya kwanza.

vipi hao wengine?
 
vipi hao wengine?

Huhitaji wote wawe wamesoma nje ya UDSM ku disprove kwamba UDSM ndo tatizo.

Ukiwa na mmoja tu ambaye amepitia zaidi ya UDSM, utakuwa ushaonyesha kwamba tatizo ni zaidi ya UDSM, kwa sababu kama tatizo ni UDSM, mbona huyu kafika mpaka Harvard naye mulemule?

Watanzania tuna tatizo kubwa kuliko UDSM, kubwa kuliko vyama vya siasa.

Tuna tatizo la utamaduni, unaoathiri mtoto anavyolelewa tangu mdogo. UDSM haikuanzisha utamaduni wa "huyu mwenzetu, mpitisheni", UDSM ni matokeo ya mfumo huo.

Ndiyo maana unaweza kukuta mtu kama John Samwel Malecela kaanza kuwa distinguished tangu miaka ya sitini huko, kabembea nyanja zote za ndani na nje ya nchi mpaka kutajwa kama mmoja wa "Eminent Persons" wa Commonwealth.

Lakini akiongea anatoa slothful rhetoric and incoherent inconsistencies.

Mtu Dr. mwalimu wa Chuo Kikuu lakini bila ya kuambiwa "huyu ni profesa wa chuo kikuu" huwezi kujua.

Wakati wenzetu ukikisikia ki daktari kinachoanza kazi tu (MD) hakina distinction yoyote unaona watu wanapanga maneno na wanajua angalau presentation kama sio na execution kabisa.

Sasa basi, hii habari ya kuangalia UDSM kama chanzo cha tatizo ime focus pasipo.

UDSM ni matokeo ya matatizo yetu (by the way, I am not about the higher learning institutions feuding here, they are all the same to me, if anything UDSM is even a little better by virtue of history).

Let us make not the symptom the source, let's look at the source.
 
Mleta mada hebu ataje mtu mmoja wa maana kutoka Mzumbe au DIT. Huyu jamaa alikosa admission Udsm sababu marks hazikutosha adi leo ana chuki. Kumbe Mzumbe nacho chuo kikuu! Sikujua.

Mkuu lakini kumbuka pia DIT ndo imemtoa founder wa JF thus why leo hii hapo umetenga masaburi yako kwenye kiti na kubofya keyboard yako na kuandika utumbo wako huu hapa JF.
 
Unamaanisha makerere mkuu na Nairobi university?

Source;;Ranking Web of World universities: Top Africa
nakubaliana na mtoa mada UDSM ni uozo mtupu wanafunzi wana crams tu na siyo creative

mkuu mbona hiyo source yako inadhihirisha kua UDSM ipo juu kuliko vyuo vyote tanzania????so maelezo yako ni yakuikandia udsm lkn link uliyoweka inaionesha udsm ikiwa miongoni mwa vyuo bora afrika huku ruco,saut,udom,mzumbe nk vikiwa havionekan ,
 
Yawezekana ikawa ni kweli madai yako kwasababu hata mhe kabwe,mhe tundu lissu,prof abdalla safari,na wengineo wengi wamesoma udsm chuo ambacho umekiita ni cha vilaza!!
 
wazungu wanasema "you are what you read"......yaani chuo ulichosoma kina affect saaaaaannnnaaaaa utendaji wako.....muone nanihii anavyofanya mambo yake.

kwahiyo na mhe kabwe,prof baregu,mhe tundu lissu,prof abdallah safari hawa wote utendaj wao ni mbovu manake nao wamesoma udsm chuo cha vilaza!!
 
Kama ni chuo cha vilaza mbona huwa kinachukua cream yote, hafu mtu akikosa mlimani ndo anafikiria kwenda vyuo vingine, kwa nini?
nan kaxema ww,,umekariri,unadhan wote wanaoxoma vyuo vngne walikosa udsm ndo wakaenda,,,unatumia makalio kufikiri na wakati wenzako wanakalia.
 
Jamani, mfumo wetu wa Elimu ni mbovu tu wala tusilaumu vyuo!!! Sasa kama mwanafunzi anasomea Ualimu then no seminar presentation, hizo TP zitamtosha? Administrators na managers hawataweza kuja hivi!!! We hav to be individual creatives in our daily life!!! My perspective no need to judge!!!!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom