Colagen
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 225
- 109
Honestly, sina hela!
Hahaha....That is what is eating you.look for realistic strategies.....this is another era boy
Honestly, sina hela!
Hahaha....That is what is eating you.look for realistic strategies.....this is another era boy
Hahaha....That is what is eating you.look for realistic strategies.....this is another era boy
ok, thanks girl, so do you mean 'no money no love in higher learning'?
nilipokuwa mdogo hadi nafikisha miaka20 nilikuwa natongozwa na wadada, yaani sikuwahi kutongoza kwa muda huo. shida imeeanza nilipofikia huo umri. nilipokuwa shule ya msingi top five ya wasichana wazuri darasani walinitaka japo nilifanikiwa kuwamiliki wawili, hii ilitokana kuwa the most handsome boy of the school pili nilikuwa nafanya vizuri darasani maana tangu chekechea had nahitimu darasa la saba nilikuwa nashika namba moja, nilipokuwa sekondari wasichana wazuri top 10 wa shule wote walitaka kuwa nami japo sikutaka kuwa nao coz nilikuwa serious na masomo sababu zile zile japo sikushika namba moja tena, nilishika namba tatu had namaliza japo kwa kiingereza nilikuwa nakimbiza shule yote, advance kwa bahat mbaya nilisoma advance ya wavulana watupu, girls walipotutembelea na tulipowatembelea walivutwa nami pia na niliwatafuna japo wawili tu. tatizo limekuja chuo kikuu! sjui muda wangu umepita! kila demu nayemtokea ananizungusha ahadi nyingi za uongo japo wapo wachache wanaonipenda japo sio beautful as i want, wale beautiful wananisumbua sana, wananidanganya sana! nnayomengi ila nahisi ntawachosha, ushauri jaman nawahtaj mabinti wazuri ndugu zangu!
Pritty wa joseph 14:47 Today
wakubali hao hao kwani wazuri ushawala pia sasa umekuwa old fashion ndo mana uko hvyo kiufupi umechuja and also huwa inatokea hata kwa ss wanawake
NB: uandishi wako kama nakujua vile ww ni G classmate wangu
Mkuu unathubutuje kuandika post kwa muonekano wa kiume kisha ukajijibu kwa muonekano wa kike? dah watu mna roho ngumu!!
Staili ya aliyekujibu (Pritty wa joseph) sina shaka kabisa ni wewe mwenyewe! ni vigumu sana mtu tofauti akakujibu hivyo tena mtu wa kwanza baada ya wewe kupost!!
una nyota ya ccm yaani chama cha mapinduzi ,muda unavyokwenda ndio mvuto unapotea, ahahahah ukweli ni huuu HUNA HELA ,CHUONI HAPENDWI MTU BALI BOOMNilipokuwa mdogo hadi nafikisha miaka20 nilikuwa natongozwa na wadada, yaani sikuwahi kutongoza kwa muda huo. shida imeanza nilipofikia huo umri. nilipokuwa shule ya msingi top five ya wasichana wazuri darasani walinitaka japo nilifanikiwa kuwamiliki wawili.
Hii ilitokana kuwa the most handsome boy of the school pili nilikuwa nafanya vizuri darasani maana tangu chekechea had nahitimu darasa la saba nilikuwa nashika namba moja, nilipokuwa sekondari wasichana wazuri top 10 wa shule wote walitaka kuwa nami japo sikutaka kuwa nao cause nilikuwa serious na masomo sababu zile zile japo sikushika namba moja tena.
Nilishika namba tatu hadi namaliza japo kwa kiingereza nilikuwa nakimbiza shule yote, advance kwa bahati mbaya nilisoma advance ya wavulana watupu, girls walipotutembelea na tulipowatembelea walivutwa nami pia na niliwatafuna japo wawili tu. tatizo limekuja chuo kikuu sijui muda wangu umepita.
Kila demu nayemtokea ananizungusha ahadi nyingi za uongo japo wapo wachache wanaonipenda japo sio beautful as I want, wale beautiful wananisumbua sana, wananidanganya sana ninayo mengi ila nahisi nitawachosha
ushauri jamani nawahitaji mabinti wazuri ndugu zangu.
una nyota ya ccm yaani chama cha mapinduzi ,muda unavyokwenda ndio mvuto unapotea, ahahahah ukweli ni huuu HUNA HELA ,CHUONI HAPENDWI MTU BALI BOOM
mmmmmmmmmmh
inamana mm ndo niliyepost hiyo thread?
hahahahhha akili yako ndogo
okay, understoodI don't mean so......but in any r'ship a man being ahead of a lady to provide for her it earn him confidence,you can not get stupid excuses to give.
Though myself I prefer it go both way, a lady not being extremely dependant, as there is ups and downs.