Tatizo nyota au nini jamani?

Tatizo nyota au nini jamani?

wamaisha

Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
17
Reaction score
2
Nilipokuwa mdogo hadi nafikisha miaka20 nilikuwa natongozwa na wadada, yaani sikuwahi kutongoza kwa muda huo. shida imeanza nilipofikia huo umri. nilipokuwa shule ya msingi top five ya wasichana wazuri darasani walinitaka japo nilifanikiwa kuwamiliki wawili.

Hii ilitokana kuwa the most handsome boy of the school pili nilikuwa nafanya vizuri darasani maana tangu chekechea had nahitimu darasa la saba nilikuwa nashika namba moja, nilipokuwa sekondari wasichana wazuri top 10 wa shule wote walitaka kuwa nami japo sikutaka kuwa nao cause nilikuwa serious na masomo sababu zile zile japo sikushika namba moja tena.

Nilishika namba tatu hadi namaliza japo kwa kiingereza nilikuwa nakimbiza shule yote, advance kwa bahati mbaya nilisoma advance ya wavulana watupu, girls walipotutembelea na tulipowatembelea walivutwa nami pia na niliwatafuna japo wawili tu. tatizo limekuja chuo kikuu sijui muda wangu umepita.

Kila demu nayemtokea ananizungusha ahadi nyingi za uongo japo wapo wachache wanaonipenda japo sio beautful as I want, wale beautiful wananisumbua sana, wananidanganya sana ninayo mengi ila nahisi nitawachosha

ushauri jamani nawahitaji mabinti wazuri ndugu zangu.
 
wakubali hao hao kwani wazuri ushawala pia sasa umekuwa old fashion ndo mana uko hvyo kiufupi umechuja and also huwa inatokea hata kwa ss wanawake
NB: uandishi wako kama nakujua vile ww ni G classmate wangu
 
inawezekana lakini, kama kuchuja ndo ndo ivi bas hatari! inawezekana nikawa au nisiwe, jina langu linaanza na GO......
 
Kwahiyo wewe unawahitaji? na sio unamuhitaji? wangapi sasa? lete majibu kwanza......., halafu tukuombeee
 
Bila shaka na wewe ulikuwa kwenye wale top 10 beautiful girls na hasa wale wawili....
 
wakubali hao hao kwani wazuri ushawala pia sasa umekuwa old fashion ndo mana uko hvyo kiufupi umechuja and also huwa inatokea hata kwa ss wanawake
NB: uandishi wako kama nakujua vile ww ni G classmate wangu

inawezekana lakini, kama kuchuja ndo ndo ivi bas hatari! inawezekana nikawa au nisiwe, jina langu linaanza na GO......
Ukiona manyoya ujue keshaliwa.....
 
una hela ? au unaleta stori na kuuza sura tu?? ....kila kitu na wakati wake....style zako zimepitwa na wakati...tengeneza hela na ujue kuzitumia halafu uone kama hawajakugombania hata ukishazeeka!
 
Kwahiyo wewe unawahitaji? na sio unamuhitaji? wangapi sasa? lete majibu kwanza......., halafu tukuombeee

Namwitaji mmoja ila awe the most beautiful, matumizi ya wingi ni kutokana naukweli kuwa huwanatupa swaga kwa mmoja akizungusha natupa kwa mwngine japo kwa wote hao sjapokea direct NO
 
una hela ? au unaleta stori na kuuza sura tu?? ....kila kitu na wakati wake....style zako zimepitwa na wakati...tengeneza hela na ujue kuzitumia halafu uone kama hawajakugombania hata ukishazeeka!

Honestly, sina hela!
 
una hela ? au unaleta stori na kuuza sura tu?? ....kila kitu na wakati wake....style zako zimepitwa na wakati...tengeneza hela na ujue kuzitumia halafu uone kama akina Zari,Wema ,Kidoti hawajakugombania hata ukiwa chongo!
 
Tatzo Kw Sasa Mahndsome N Weng Kaka Na Kw Sasa Warembo Weng Wanatoka Na Wat Wazma, Pole

inawezekana lakini maana kuna binti nilimtokea akasema anatoka na lecturer ivyo akanambia ananipenda lakin hatak kuniharibia future
 
Kisimati,love, hate yote subjective to change
 
Kweli wa maisha ni wewe. With the same strategies za high school lazima wakukimbie.
 
Back
Top Bottom