Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi

The main isue is imbalance of hormones
Hao ndio wanatusababishia tutembee Na wake za watu!! Atavumilia mwezi tu baada ya hapo akitoka tu jicho halitulii

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnaotaka mahanithi wakazi gani sijui anyway aliwazalo mjinga ndio litakako mtokea
 
hasira hizo ndio maana mnajikuta mnarevenge mpaka mnajikuta mnatoa 0713 ili kumkomoa mume, kumbe unajikomoa, jua mwanaume si kushindana nae, ukiona vile kuwa mpole tu

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
hahahaha ni vile hatujuani !nakaa kimya !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…