Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Madame B...hata wewe unashiriki kuvunja ndoa yangu?sweetlady nimechelewa Mummy,
Mitungi noooomaaa!!!,
Ngoja nikubembelezee kwa Nyonga mkalia Inni wako Vin Diesel.
Atarudi tu.
Mwaaaaaah wifi langu! Nashukuru kwa kunikaribisha nyumbani!wifi wa ukweli sweetlady bora umeona Vin Diesel anahela za msimu.....wifi karibu nyumbani mwache arushe ndoano kwa Catherine
Vin Diesel kakangu hebu nihabarishe umelegeza vipi kamba hadi mkafika huku? :crying:
Najua Vin Diesel ukitoka kanisani utakuwa umejaa upako so hutakuwa na nguvu za kipepo bali upako tu
Ila nakupa pole kwa KUMWAGWA na sweetlady
Kumbe ulitongozwa hukutongoza...lol....Ndio madhara yake hayo
Itakuwa alitumia nguvu za giza kumrubuni my wife
Hehehehe! Endelea kujipa moyo, mie ndio kama hivyo nimeamua kurudi kwa lovely husband!
wifi wa ukweli sweetlady bora umeona Vin Diesel anahela za msimu.....wifi karibu nyumbani mwache arushe ndoano kwa Catherine
Mapenzi sio pesa Vin DieselBenki zimeniomba nitunze hela uswisi mpaka watakapotanua strong rooms zao....hela hapa inaongezeka kila siku kama wagonjwa wa ukimwi kwa taarifa yako Blaki Womani....