Tatizo ni wewe Vin Diesel



siamini wamefanikiwa kukurubuni mama watoto wangu....ngoja nikaabudu na kumwachia Mungu mapenzi yake yatimie
 
siamini wamefanikiwa kukurubuni mama watoto wangu....ngoja nikaabudu na kumwachia Mungu mapenzi yake yatimie
Huamini nini? Wewe ndio umeniibia mke wangu nkanyamza ingawa nilitaka kufa kwa mawazo sasa amerudi kwangu unaanza mkwara....Acha hizo Vin Diesel Tuache tuendelee na maisha yetu
Jamani Vin Diesel nimesema imetosha na nimekutua tayari sasa unataka nini?
Its over mzee wacha nitonye ale vyake
Kifupi I hate you kwa kunigombanisha na mume wangu
Mh hapa naona kama kuna hatari ya ngumi kuzuka....ngoja nikae kando nile raha mtoto wa chuga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…